Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Ndugu chizi,

Ukiwa na kisa share na wewe

Karibu tujadili.

Kama hauna pita kimya.
Nimetoa tu tahadhali. Sisi wakati tunakua hatukuwa na mawazo haya. Tulikuwa TUNAWAZA KUJITEGEMEA. SIYO KUTEGEMEA WATU WENGINE. HATA UKIWA SHULENI UKIPIGWA HUENDI MWAMBIA MZAZI WAKO. YANAISHIA HUKO HUKO. NYIE VIJANA SIKU HIZI NI DISGRACE KABISA. AIBU KUANZISHA UZI KAMA HUU. UNGEKUWA JINSIA YA KIUME UNGETENGWA.
 
bas ujapata kujua wajeda wanatendaga nini kwa vituo vya mapongo especially case iwe ni base less watu wanatolewaga lockup na makwenzi wanapigwa
Kila sehemu kuna taratibu zake,acha kuwadanganya watu humu
 
Na, kinyume chake ni balaa, hapo wamekusaidia, lakini wanavunja uta wala wa sheria, mwenye jukumu la law enforcement ni polisi, sio wanajeshi, hawa hujiona wapo juu ya sheria, sheria za balabalani, wanavunja wanavyo taka bila dharula yoyote, hujiona wao ndio wenye "monopoly of violence"
Kuna mmoja daladala ya kutoka mwenge analazimisha imshushe karibu na lango LA lugalo,
Dereva akagoma, jamaa mikwara miiiiingi, cheo chenyewe V mbili tu, afya mgogoro!
Watu wanadanganyana sana humu et mwanajeshi aende kituoni kumtoa mtuhumiwa kwa nguvu na sheria anakua hajui au
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Hahahahaha kwamba? Kituo kinasimamiwa na nani mkuu?
1. Unajua polisi ni raia lakini?
2. Sawa,hawezi kwenda kuleta vurugu kituoni. Mtoa mada zoezi la masaa kalifupisha. Una uhakika hawajawasiliana na mkuu wa kituo kumueleza wanachokitaka?
3. Kwani unadhani dogo kutolewa, hao askali wa lindo hawakuwasiliana na mkubwa wao?
4. Au tu kisa kasema mwanajeshi!
Basi kama unajiamini kwa haki na usawa, uende na mwanajeshi af uone kama atazunguushwa kama wewe.

Pia,mbona wao waliuliza kafanya kosa gani!?
Si kila kosa wanaweza kuingilia,yale yanayoweza kumalizwa kishikaji, hata mkuu wa kituo anamaliza. Angekuwa amebaka au ameua unadhani wangeenda?!
Hakuna protocols zisizovunjwa dunia nzima.

Vinginevyo ukiwaza hivo, basi na kusingekuwepo na mtu wa kumpeleka mtu kituo cha polisi kwa kumsingizia.
 
Watu wanadanganyana sana humu et mwanajeshi aende kituoni kumtoa mtuhumiwa kwa nguvu na sheria anakua hajui au
Mkuu, kwa nini asiende?
-Kwani kwenda kunahitaji nini?
a)- Kosa la mtuhumiwa lina uzito gani
b)- Mawasiliano na mkuu wa kituo

Si kwamba ataenda hivi hivi. Ila pia ikitokea kashikwa mwanajeshi au mstaafu, unadhani atakaa polisi? Kama hajafukuzwa. Japo kwa vyovyote mkuu wa kituo atahusishwa tuuu na atatoa muongozo. Kwa hili la jama, huenda walifika kabla mkuu wa kituo hajawasiliana na vijana wake, vinginevyo mtu atatolewa kwa amri ya mkuu wa kituo,baada ya kupokea ombi toka kwa mwanabakabaka furani.
Na hao mnaowasema wakorofi,ni hawa wadogo wadogo tu. Ofisa ni nadra sana kufanya ujinga. Nae anajua polisi ni uraiani hapamhusu,ataenda tu kuomba huduma kama wengine.
 
Ila pia kama umeoa ukiwaleta kwako, ujue mwanaume mjinga huvunja mji wake kwa akili zake mwenyewe. Ndo utajua kumbe marafiki wazuri.

Hivi, unajenga nao urafiki ili iweje? Uwataftie tu misambwanda! Kila mara wanahama. Mawasiliano yataishia hapo. Kwamba atoke Bukoba aje akutembelee Dar kisa mlikuwa marafiki? Au wewe uende? Kwa vile si wakorofi na ndo wanaokuweka vizuri kiusalama,akihitaji huduma, mhudumie, kila mmoja aende zake. Ukileta mazoea na shobo mwisho wa siku utadhalilika.
Mleta mada,umefupisha sana, ungetueleza na dogo alipotoka aliambiwaje na waliomtoa.
 
Mkuu dogo ana nyota sana ya kupendwa na wanajeshi.

Na mpaka demu aliyemzalisha alikuwa ndo anaanza ajira ni mwanajeshi ila dogo amekulia kwenye garage maisha yake.

Ishu ilikuwa ni mwanamke si kwamba dogo alikuwa na fujo au laaah ni kama vile askari ajue unaishi na demu wake akutafutie sababu akupige akuumize akusweke ndani.

Huyo demu alikuwa ni demu wa club sana na mwanachuo hivyo akawa yupo na dogo na mshkaji aliyenipa taarifa usiku huo.baada ya kuingia ndio akaona poti akaanza kumtafutia visa, dogo kapigwa akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani.

Mkuu kuna mikoa haya mambo ya kwenda kutoana vituoni kwa ubabe yapo na yanafanywa na askari wa chini.

Jamaa aliyeenda kumtoa baba yake ni mkuu wa kambi ya jeshi mojawapo katika huo mkoa.

Hata kuona kambi Fulani na kambi Fulani wana ugomvi bado kuna mikoa haya mambo yapo.
 
Ahahaha dogo hizi stori peleke fesibuku tena hata kule wanaweza wakaikataa hii chai
Kwa kifupi hamna mtu anaweza kumtoa mtuhumiwa magereza au kituo cha polisi akiwa detained bila utaratibu
Pale ubabe hauna nafasi mzee hata waziri wa ulinzi mwenyewe hawezi kutoa amri ya mtu kuachiwa kibabe eti kisa ni rafiki yake
 
Nikiwa mdogo nilikuwa nawaogopa sanaa wajeda... Ila nilipoenda JKT nikakaa nao nawaona wana tuu hata mtaani nataniana nao
 
Ahahaha dogo hizi stori peleke fesibuku tena hata kule wanaweza wakaikataa hii chai
Kwa kifupi hamna mtu anaweza kumtoa mtuhumiwa magereza au kituo cha polisi akiwa detained bila utaratibu
Pale ubabe hauna nafasi mzee hata waziri wa ulinzi mwenyewe hawezi kutoa amri ya mtu kuachiwa kibabe eti kisa ni rafiki yake
Huna akili.

Kwanza itoshe kusema hujasoma nilichoandika

Kaa kwa kutulia mdogo wangu, acha papara.
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Tatzo Tz hakuna uwajibikaji (so kwa tz inawezekana)

Ndio maana aliambiw hiyo.sio.protocaly ilibd wasimtoa wafanye fujo then hao askar polis watege camera na wawathibit

Ila askari polis wanau onevu(wengi wao wanaongozwa na tamaa za rushwa au kupokea mashinikzo kutoka kwa wakubwa wao)

Askari jeshi wanataka wao kuw juu ya kila ktu(baadhi yao hasa haw wa miaka 21- 30) (wawe kama rais anavyopew kipaumbele

NB:-
HAKUNA KAZ NGUMU KAMA YA U POLIS HASA KWA TZ KWAKUW INAINGILIWA SANA KIMAJUKUMU NAZN MAREKEBISHO MUHIM YANATAKIW NA USIMAMIZ WA P.G.O UTEKELEZWE KWA 100%
 
Back
Top Bottom