Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Baba police waone ivyo ivyo wakikucholea case you finished
Mimi Nina marafiki washkaj weng bakabaka.
Ile kesi ya jamaa kuua sijui sergeant na polisi wakasema hatuwezi kuwapa sababu ni ya kiraia

Embu watuambie kama bado wanaye huyo jamaa mikononi mwao😂😂
 
Kisa chako ni cha kufikirika hakina ukweli hakiwezi kufanikiwa kwa njia hiyo, labda kama umeongeza chumvi na hiyo chumvi ndo imeharibu hii stori

Inawezekana jamaa walienda kiungwana na wakafata utaratibu na dogo akaachiwa ila wewe umekuja kuiwasilisha kwa njia ya kuwa walienda kibabe.

Ubabe pale haufanyi kazi mzee
Huna unalojua.

Tembea katavi, kigoma, tabora na mikoa mingine.

Ishi na bakabaka mdogo wangu urafiki wao ni bora kuliko fungua fanta

Sina haja ya kukulazimisha, utaki tulia

Asante kwa kushiriki
 
sawa tunashukuru kwa mchango wako.

Tena sio kwa nguvu tu na vitisho juu.na dogo anaondoka

Nadhani kuna mikoa bado ujafika umekosa exposure.
Hizo enzi zimepita,Kila sehemu Pana utaratibu, utakuja kuumia one day, unafanya makosa eti na ndugu/ washikaji ni Ma soldiers watakuja kunikomboa , leave in peace 🕊️✌️
 
Mkuu hili nilishuhudia mwenyewe maneno ya bunju B.

Mjeda mmoja alimuadhibu dogo alikuwa mwizi, watu wamesema mpaka wamechoka mzazi anaendelea kumtetea.

Dogo alienda kujichanganya KUIBA kwa huyo mwanajeshi akaruka ukuta akaingia.

sasa kuna camera halafu dogo alienda mchana kumbe jamaa yupo ndani.

Dogo akakamatwa alikuja kupigwa mtaani kabisa watu wanaona na akawa anasema atakayesogea namuunganisha dogo kapigwa mpaka anakata moto akachukua simu akapiga polisi kuna maiti ya mwizi sehemu Fulani akaondoka.
Aisee
 
Huna unalojua.

Tembea katavi, kigoma, tabora na mikoa mingine.

Ishi na bakabaka mdogo wangu urafiki wao ni bora kuliko fungua fanta

Sina haja ya kukulazimisha, utaki tulia

Asante kwa kushiriki
Picha inaanza huyo polisi unaemletea shida mwenyewe hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa akiwa detained

Alafu wewe ndo ukamletee fujo eti amuachie kisa umeenda kibabe ili yeye aje ahojiwe na kushtakiwa? Zile silaha wanazobeba nje ya kituo ndo kazi zake hizo kwaajili ya watu wanaotaka watuhumiwa waachiwe kibabe

Ukilifikiria hilo tu utajua ni jinsi gani umeleta chai isiyo na mbele wa nyuma
 
Kuna mmoja rika langu tumekuwa wote tangu utotoni.

Sasa alipokuwa mjeda akaanza utemi wa kifala akitamka kila mmoja amuogope .

Kuna siku akajaa kwenye anga zangu nilimkanda sana mpaka leo heshima.
 
Anhaa mkuu hayo si magari ya jeshi magari binafsi yao anaingia kota wanapoishi.

Dogo anaenda kuchukua gari anatengeneza na marekebisho mengine.
Ok. Ni quartes siyo kambini! Magari binafsi! Hapo sawa. Ila kwenye kumpa mimba mjeda?!
 
Ok. Ni quartes siyo kambini! Magari binafsi! Hapo sawa. Ila kwenye kumpa mimba mjeda?!
Hilo sitalisema maana nita expose zaidi wahusika.

Ila dogo yupo nae ila cover up bidada alifanya mwanajeshi mwenzake.

Hakuna kitu haiwezekani, tumelala mpaka quarter za washkaji hayo mambo yapo, Huwa wana ya cover tu
 
Picha inaanza huyo polisi unaemletea shida mwenyewe hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa akiwa detained

Alafu wewe ndo ukamletee fujo eti amuachie kisa umeenda kibabe ili yeye aje ahojiwe na kushtakiwa? Zile silaha wanazobeba nje ya kituo ndo kazi zake hizo kwaajili ya watu wanaotaka watuhumiwa waachiwe kibabe

Ukilifikiria hilo tu utajua ni jinsi gani umeleta chai isiyo na mbele wa nyuma
Rudi kasome stori huna ulichoelewa mpaka sasa.

Soma kutulia mdogo wangu
 
Hizo enzi zimepita,Kila sehemu Pana utaratibu, utakuja kuumia one day, unafanya makosa eti na ndugu/ washikaji ni Ma soldiers watakuja kunikomboa , leave in peace 🕊️✌️
Kwanini unapenda kukurupuka ndugu?

Rudi kasome au waambie watu wakusaidie nilichoandika.
Wapi nimesema nimefanya makosa?

Hivi bongo tuna shida gani?
Huyu nae mwendawazimu anarudia yale yale😂😂
 
kama hujawah kuona usibishe mkuu au uliza wenyeji uambiwe mpaka matamko yalitolewa kuwaombacwajeda waheshimu mamlaka nyingine ,
Mkuu kuna vitu ukikosa exposure huwezi kubali.

Waseme yule jamaa sijui wa kawe dereva bajaji bado polisi wanaye?

Mimi sijawahi kufanya ukorofi kisa Nina urafiki na bakabaka wengi, ila nilishangaa dogo anatolewa lock up kwa command usiku kinyume na taratibu.

Tena ishu zenyewe ni za kipumbavu za wanawake.
 
Nafikiri hata wewe umejifunza.

Asante kwa kushiriki mdogo wangu

Siku njema.
Ndiyo nimejifunza kuwa licha ya utandawazi na elimu kuwa bure bado kuna watu ni wajinga hawajui pindi wanapoonewa na polisi wachukue hatua gani wao wanaamini kuwa na urafiki na askari wa jwtz ndo salama yao
 
Back
Top Bottom