Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Yanifundishe kuwa na marafiki wanajeshi watakuja kunitoa lockup ya polisi?
Unaweza kutoka kituoni polisi Bure?

Ok najua hujawahi hata kufika, ndugu yako yoyote alishawahi?

Haki gani unavyotaka kuisema hapa Tanzania embu iweke hapa tuijui kwenye vituo vya polisi?
 
Unaweza kutoka kituoni polisi Bure?

Ok najua hujawahi hata kufika, ndugu yako yoyote alishawahi?
Bado una safari ndefu sana kujua rangi halisi ya mambo kwakua stori za vijiweni zimekuweka kwenye giza totoro
 
Wanajeshi wengi hawana kinyongo na raia tofauti na askari wa usalama wa raia na mali zake...... Nina wanangu wajeda hao wakikuambia tunatoka dah hadi nawakimbia asee maana sinywi pombe kwahyo wao wakinunua beer zao wanakupiga na robertson ikiisha unayo nyingine gari wakitumia lako basi mafuta sio swala nakumbuka tulishapata kamzinga tukagonga mbwa ikabidi niwakimbie maana wanachanga fasta na nimeshakula nao bata gari inawese kibao nikaona hiyo 60k ya kurekebisha sio kesi
 
Hakuna haki kituo cha polisi.

Ndio maana nakuambia wewe bado sana.

Kutoka polisi ni pesa lakini kuna Sheria hiyo kwamba kutoka polisi ni pesa?

Acha ujinga ndugu, polisi ni uwe na pesa au utumie mtu mwenye nguvu zaidi yako.

Polisi anasema embu mshuhurikieni huyu na wale watukutu wa mule ndani wanampga mpaka anavimba macho.

Acha ujinga. Hakuna haki polisi huo ni ukweli

Cha muhimu ni kujua sheria na haki zako basi. Urafiki na Mwanajeshi au Polisi sio ngao wakati wote.

Kuna muda utahitaji msaada wao na wao hawatoweza kukusaidia. Kuna mahali Wanajeshi hawaingii na kuna mahali polisi hawaingii. Kila mamlaka inayo mamlaka kuu zaidi.

IJUE SHERIA, IJUE HAKI YAKO! Hawa ndo wakombozi wako.
 
Bado una safari ndefu sana kujua rangi halisi ya mambo kwakua stori za vijiweni zimekuweka kwenye giza totoro
Nikikuambia huna hoja unalalama mtoto wa mama!

Jibu swali haki gani unayozungumza wewe hapa Tanzania?

Zile za kwenye makaratasi na yanayofanyika ni tofauti.

Kaa kwa kutulia mdogo wangu.

Aidha uwe na mtu mwenye nguvu, wakili au pesa.

ACHA KUDANGANYA TUSHALALA SANA HUKO SI SEHEMU NZURI NA HAKUNA HAKI UNAYODANGANYA WATU HAPA.
 
Picha inaanza huyo polisi unaemletea shida mwenyewe hana mamlaka ya kumtoa mtuhumiwa akiwa detained

Alafu wewe ndo ukamletee fujo eti amuachie kisa umeenda kibabe ili yeye aje ahojiwe na kushtakiwa? Zile silaha wanazobeba nje ya kituo ndo kazi zake hizo kwaajili ya watu wanaotaka watuhumiwa waachiwe kibabe

Ukilifikiria hilo tu utajua ni jinsi gani umeleta chai isiyo na mbele wa nyuma
Sahihi kabisa
 
Cha muhimu ni kujua sheria na haki zako basi. Urafiki na Mwanajeshi au Polisi sio ngao wakati wote.

Kuna muda utahitaji msaada wao na wao hawatoweza kukusaidia. Kuna mahali Wanajeshi hawaingii na kuna mahali polisi hawaingii. Kila mamlaka inayo mamlaka kuu zaidi.

IJUE SHERIA, IJUE HAKI YAKO! Hawa ndo wakombozi wako.

Labda kama mgeni vituo vya polisi.

Endelea kusimuliwa kuhusu haki na Sheria.

Shukrani mkuu
 
Hii ni chai ya maziwa Ina moto balaa mm ninachoweza kusema dogo alikamatwa na sungusungu lkn siyo polisi, mwanajeshi hawezi kutoka tu kienyeji aende police kumtoa mtuhumiwa, ata kama baba yake ni Afande kikosi, narudia Tena hii ni gahawa ya kijiweni
 
Kwanini unapenda kukurupuka ndugu?

Rudi kasome au waambie watu wakusaidie nilichoandika.
Wapi nimesema nimefanya makosa?

Hivi bongo tuna shida gani?
Huyu nae mwendawazimu anarudia yale yale😂😂
Kwanza don't fool us, hiyo hadithi ya kahawa , I refused to buy that stuff, it's 21 century, sio bronze age, separation of power, transparent, rule of law,kapigane huko alafu uone kama cello utakaa na Mahakamani utapelekwa
 
Wewe hata kusoma hujui.

Nimekuacha, ukielewa Rudi hapa zuchu.
 
H
Cha muhimu ni kujua sheria na haki zako basi. Urafiki na Mwanajeshi au Polisi sio ngao wakati wote.

Kuna muda utahitaji msaada wao na wao hawatoweza kukusaidia. Kuna mahali Wanajeshi hawaingii na kuna mahali polisi hawaingii. Kila mamlaka inayo mamlaka kuu zaidi.

IJUE SHERIA, IJUE HAKI YAKO! Hawa ndo wakombozi wako.

Wewe hata kusoma hujui.

Nimekuacha, ukielewa Rudi hapa zuchu.
Urafiki na Polisi, Mwanajeshi au Mwanasiasa,hakimu sio Ngao na Wala isikupe upofu or don't take things for granted # Rule of Law, mada ya kijinga tufuate sheria na haki basi chai sana watu kama nyie kwenye jamii
 
Umeshindwa kuelewa lugha ya kiswahili na nini nilichoandika.

Hizo Sheria zipo polisi ya Tanzania?

Rudi kasome
 
Urafiki na wao si tatizo,kwa sababu hata wao ni viumbe kama wewe,na huduma za kijamii hurudi uraiani kuzitafuta. Hivyo, na wao kwa akili utaishi nao. Wana akili zao wanazozijua. We zowea tu,siku moja utajua hujui na hautoamini
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?

KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.

Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo wachache wanawaharibia.

Kuna ndugu yangu alikuwa ni fundi wa gereji za magari mkoa Fulani sio dar. Alikuwa anawatengenezea sana wanajeshi magari yao, ikafika kipindi wasipomkuta dogo wanamtafuta anaenda mpaka kambini kuchukua magari na anawatengenezea kwa uaminifu.

Siku moja katika viwanja vyake dogo vya starehe kuna polisi akamletea ubabe akampiga akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani ishu ni ya wanawake.

Mimi napewa taarifa usiku saa5 na mtu aliyekuwepo mule ndani club dogo wamempga na wamemchukua, usiku huo huo nikavuta waya kwa jamaa mmoja mwanajeshi alikuwa anamkubali sana dogo, baba yake alikuwa mkubwa wa kambi katika huo mkoa,

Akaniuliza ilikuwaje nikamwambia kama nilivyoambiwa akaniambia ok tunakuja hapo, usiku saa5 inakimbilia saa6 wakaja wanajeshi watatu na yule jamaa wa nne.

Wakasema vaa twende kituoni, na gari mpaka kituoni wakafika reception wakasema tumekuja kumchukua mdogo wetu muda huu, polisi wakaanza hizo sio protocol dogo alikuwa analeta fujo, wakasema mkitaka pafungwe hapa leo huyo dogo msimtoe uone.

Ikabidi waende kumtoa selo usiku saa6, nimekaa mbali naogopa hapo, baada ya kumtoa jamaa akasema nitakutafuta, tukaondoka.

Nawapa hongera bakabaka wana nidhamu kubwa sana.bora urafiki na bakabaka.

Share kisa chako na bakabaka.
Sasa mimi nakushauri,weka urafiki na usalama wa taifa hutajutia hata siku moja,na utakuja nishukuru, wale jamaa wanakulinda masaa 24 bila wwe hata kujijuwa,ukipata matatizo na vyombo vya dola kama ni haki yako.wao tayari wameshaingia.kazini kukupambania bila wwe kujijuwa!!
 
Mkifika kwa wale wenye urafiki na askari Magereza mje niwaambie jinsi wanavyopiga vizinga na vile hawatamani watu wawajue

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Aseee mkuu siku moja katika harakati zangu.

Nilikutana na wanfungwa wanafanya usafi sehemu pembeni wameweka viatu vinauzwa, sasa nikamuuliza hivi viatu unauza akasema ndio hivi viatu natengeneza mwenyewe halafu vilikuwa vya ngozi ila ni vya mtoto.

Ikabidi niangalie kile kiatu, kilikuwa ngozi haswa, nikanunua kile kiatu nimpeleke dogo.

Nilibaki na maswali malighafi wanaopata wapi na nani anawapa ruhusa kuweka viatu pale na yupo anayewasimamia.

Sikuwahi kuelewa ni biashara za maaskari na wanachukua cha juu au ni zao kukidhi mahitaji.
 
Back
Top Bottom