Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Ni ndugu zetu hao na urafiki nao ni SAWA ni binadamu kama sisi.Ila don't take things for granted.Toa Ujinga nyie ndo Wala ukigombana na mtu unatishia watu na kaka mwanajeshi namuita acha Ujinga huo.
Rudi kasome post #112

Tulia fuatilia kwa makini.
 
Sasa mimi nakushauri,weka urafiki na usalama wa taifa hutajutia hata siku moja,na utakuja nishukuru, wale jamaa wanakulinda masaa 24 bila wwe hata kujijuwa,ukipata matatizo na vyombo vya dola kama ni haki yako.wao tayari wameshaingia.kazini kukupambania bila wwe kujijuwa!!
Daaah hivi mkuu hawa watu unawajua wewe?

Kwakweli siwajui
 
Tengeneza urafiki na mamong'oo maasai,ukimwambia nimekamatwa nipo kituoni anakuja na fimbo kupandisha mori kituoni 🏃🏿‍♂️
 
Lakini jitahidi uelewe saikolojia ya wanajeshi, Kuna siku hutaamini kama anaekupa doso ndiyo mshikaji wako.

Mazoea ya hovyo, unamfuata jamaa mpaka kikosini, unaleta kiburi kwa askari wenzie. Atakugeuka dakika sifuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukugeuka ni sahihi,wale wengine wanakusondekea ili wapate maokoto kwako
 
Labda kama mgeni vituo vya polisi.

Endelea kusimuliwa kuhusu haki na Sheria.

Shukrani mkuu

Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.

Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.

Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!

Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.

Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
 
makamanda hawanaga kwere ila hawa raia wakakamavu anaweza akawa mwanao akukuuza kwa mapimbi wenzie wakupige maokoto
Nadhani hii inakuwaga kipindi huko CCP jamaa wanazinguaga sana. Imewahi kunikuta hiyo mimi.
 
Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.

Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.

Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!

Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.

Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhali

Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.

Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.

Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!

Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.

Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
Na ndio msingi,tunatatizo sana Watz Kwa upande wa kujua haki/ Sheria na wajibu wetu.

Mtu anazani Ngao ni kuwa na watu Fulani,Fulani....... unafanya kosa Kwamba Kuna wakubwa Fulani watakutetea, ushauri mzuri ipo siko utaingia mikononi pabaya na hao wakubwa watakuacha Sheria itafuatwa.
 
Na nikwambie kitu,Wanajeshi wa sahivi wana Akili very Smart sana na wanafundishwa nidhamu ya hali ya juu,Mimi na washikaji kibao huko sasa Fanya Ujinga wako mtaani mwambie atakwambia kabisa fuata sheria umekosea.
Asante kushiriki

Posst #112 soma utaelewa
 
Haya ni mawazo ya watu maskini. Ukiwa na mawazo ya kimaskini daima utajibebisha kwa wanaume wenzako.

Tafuta hela, ukiwa nazo hutakuwa na haja ya kujibebisha Kwa mtu yeyote Lisa sijui ye ni nani.
Hiyo ni huko kwa wenzetu ila kwa hii nchi hata ukiwa na pesa jitahidi uwe pia na mamlaka au ukishindwa basi jiweke karibu na wenye mamlaka, ndio maana unaona kuna matajiri pamoja na pesa zao bado wanateswa na wenye mamlaka na muda wowote wanaweza kupukutishwa utajiri wao huku wanajiona, ndio maana unaona kuna watu wengi ni matajiri ila bado wanahangaika kuingia kwenye siasa ili wawe na mamlaka na matajiri wanaopeta ni wale wanaowalamba miguu viongozi
 
Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.

Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.

Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!

Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.

Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
Wale vijana waliouwawa na polisi wakidai ni panya road, ile ni haki au sio haki?
 
Hiyo ni huko kwa wenzetu ila kwa hii nchi hata ukiwa na pesa jitahidi uwe pia na mamlaka au ukishindwa basi jiweke karibu na wenye mamlaka, ndio maana unaona kuna matajiri pamoja na pesa zao bado wanateswa na wenye mamlaka na muda wowote wanaweza kupukutishwa utajiri wao huku wanajiona, ndio maana unaona kuna watu wengi ni matajiri ila bado wanahangaika kuingia kwenye siasa ili wawe na mamlaka na matajiri wanaopeta ni wale wanaowalamba miguu viongozi
Sijui kwanini watu hawaelewi hili.

Hii nchi tunadanganyana tu.

Kwenye maandishi na yanayofanyika tofauti na hatupendi kusikia ukweli.
 
Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.

Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.

Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!

Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.

Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
Kama tito magoti alikuwa mwanaharakati alifanya kosa gani mpaka afichwe?

Na bado unasema haki na Sheria.
Kutolewa kwake ni sababu serikali ilitaka kuwaridhisha wananchi.

Mngepambana hayo mambo yasifike kwenye vyombo vya habari mkaona.

Tito inaonekana ni agizo la kutoka kwa wakubwa, ila ingekuwa kawaida angetoka.

Mwanasheria sema ukweli
 
Back
Top Bottom