Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Me awe mrefu wastani ,maji ya kunde af awe ana tumbo flat na kiuno chembamba halafu nyuma awe normal mbele kajaa af awe ana kaaibu flani na kudeka kidogo na kuringa kidogo yaani me hoiiiiiiiUpo sawa na mimi
Mwanamke ndani ya hijab,afu awe mfupi, maji ya kunde au mweupe napagawa kabisa hadi shingo nageuza!!!!!
Wabheja sana
Daah!? Kwakuwa wanawake wazuri ni adimu? [emoji36][emoji23] [emoji23] [emoji23] bora awe na K yani (Kazi)
Ninatwo twa kukalia mkuu sio yule wa kunesa nesa,So unatuchura twako apo??
Ila, em niulize, hivi ma gay hayaez jichanganya hapa?
[emoji350] [emoji350] kama kuna besexu... anikane mara 3,
Wabheja sana
Hilo unalisema weweNi wewe.
I know Mr Billy and am thanking you for that, kweli umeninogesha mpk nimeweza kuandikapo kainglishBTW you know how I do rate you, sihitaji hata kuitajia uma, for real.
Hilo unalisema weweNi wewe.
Kabisa macho mengi humu lohMengne ni pm (wizi) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
U say so!but even though i love her attitudeKapeace ni notorious, aloo
Ni zaidi ya hiyo 10% uuze na lile ghorofa ya urithiKama umafanana ata %10 nauza shamba