Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Me awe mrefu wastani ,maji ya kunde af awe ana tumbo flat na kiuno chembamba halafu nyuma awe normal mbele kajaa af awe ana kaaibu flani na kudeka kidogo na kuringa kidogo yaani me hoiiiiiii
Hapo kunishika ugoni ni kugusa tu, daily,



Oa wa hivyo utansamehe[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…