Wekeni picha.

Wekeni picha.

Nahisi WENGI wao hawajiamini na wamejawa na wasiwasi wa kukataliwa.....
 
Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka

Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu...

Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta...

Cc: mahondaw
 
Jamani wewe naniliuu Unataka picha za nini
 
Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu...

Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta...

Cc: mahondaw
Unajua katika sisi binadamu kati ya wanaume na nwanamke tumegawana ladha.

Mwanaume ladha yake ni kuona akapenda

Mwanamke ni kusikia maneno...nadhani ushawishi wa haraka na uhakika ungepatikana kwa mwanaume baada ya kumuona na akashawishika..
 
Ukianza kuweka picha jf na wahtsapp kazi yake nini?
Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga

Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini
 
Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga

Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini
Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake?
 
Back
Top Bottom