0653400400
Senior Member
- May 13, 2018
- 124
- 38
KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waweke pichaKWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?
Aonekane wenye nia wajiridhishe...kwa anaejua masuala ya ndoa atajua nazungumzia niniKwa nini waweke?
Sisi tupoMwambie hatupo
Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka
Ukiona mtu anaficha kitu ni dalili ya kuwa kuficha ubovu...kina mashaka
Unajua katika sisi binadamu kati ya wanaume na nwanamke tumegawana ladha.Siyo dalili ya kuficha ubovu... ni namna ya kujiepusha na wenye nia ovu...
Leo ataanzisha thread ya kutafuta mchumba na picha yake halisi, kesho ataanzisha thread ya kuikosoa serikali unajua kitachomkuta...
Cc: mahondaw
Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yangaUkianza kuweka picha jf na wahtsapp kazi yake nini?
Hiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake?Kabla ya kusema tafakali uzuli jombaa...naamini ujumbe wako ni wa kisimba na yanga
Kumbuka jf kipo kipengele cha picha sijajua kazi yake ni nini
Kwa swali hilo uko upande wangu..na ndio maana nashangaa kwanini hakitumikiHiko kipengele cha picha ushakuta mtu kaweka picha yake?
Waweke picha za nini?KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?