Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

Nimenunua gunia 20 za debe sita kwa 6000@ natest zali ikinipendeza nitaendelea nayo mwakani
Matumizi yake
1 .gunia tupu 20=12000
2.usafiri 2000= 40000
3.mpunga gunia 20*36000= 720000
4. Gharama ndogo ndogo = 50000

JUMLA 822000
TUKUTANE JANUARY
Kwa hiyo hizi utazitunza hadi january mkuu ? Au utaongeza ?
Kadirio la faida litakuaje?
 
Pale nshaenda ila kupata yale mashamba sio rahisi bila connection
Nasikia ni mashamba ya usharika,wanapeana kwa kujuana tu!
Ongea vizuri na sisi sasa,
Jirani pale wapo jamaa wa TARI, nadhani they can be of help kwa naowajua.
 
When the deal is too good think twice
 
Kuna makala moja aliandika Mh Kingwangala kuhusu biashara ya mpunga. Mh aliingizwa cha kike na mtu anaemuamini sana. Itafuteni mtakuja kunielewa

Kwa kifupi hii biashara sio rahisi km mtoa mada alivyosema
SI alikuwa anafanya kilimo cha kupiga simu
 
Kwenye mahindi usiweke pesa, watu wana mahindi ya mwaka jana walinunua kwa 800, saizi bei ni 550 mpk 500
That's business sometimes you fail sometimes you you have to accept don't worry to take risks next time failure is a part of success embrace it duu umepigaje hapo.
 
Kama una hela nunua mahindi kipindi hichi then hifadhi! Kwanzia Sep-Dec mahindi yataadimika na bei itakuwa juu!
 
Kama una hela nunua mahindi kipindi hichi then hifadhi! Kwanzia Sep-Dec mahindi yataadimika na bei itakuwa juu
 
nunua wewe halafu wapelekee
 
Nimenunua gunia 20 za debe sita kwa 6000@ natest zali ikinipendeza nitaendelea nayo mwakani
Matumizi yake
1 .gunia tupu 20=12000
2.usafiri 2000= 40000
3.mpunga gunia 20*36000= 720000
4. Gharama ndogo ndogo = 50000

JUMLA 822000
TUKUTANE JANUARY
Mkuu tunaomba mrejesho
 
Kufikia July mchele utakuwa aukamatiki mwaka huu mvua chache sana kwa baadhi ya mikoa majaruba mengi hayana maji mpk sasa na gunia la mpunga mpaka sasa lina 70k sasa sijui mpka july itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…