Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Jakaya Kikwete sasa hivi tunaweza kusema is a seasoned politician.

Amepitia mengi, mazuri na mabaya.

Ingawaje urais wake watu walidiriki kumwita ati dhaifu, ndani ya hii miaka mitano wananchi wameona maana ya uvumilivu wa Kikwete.

Nampongeza sana Kikwete vile vile kwa kumpigia tafu Mama Samia, dhidi ya makundi hasi, mengine yakiwa na sura ya kikabila.

Sisi wana CCM long time tunashukuru kuwa sasa chama kinarudi kwa wenye chama ambao wengine ni waasisi.

Mimi kadi yangu ni ya 1977.

Waliingizwa watu ambao wengine wametoka vyama vya upinzani na kuwaacha makada halisi.

Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Bahati yenu, chama chenu kilikuwa kimetekwa!! Kilikuwa kinakwenda what we call "mwendo wa mateka...." leo hii mnaanza kufungua midomo na kusema madukuduku yenu - kweli ni jambo la kushukuru mno!

Ila na nyie mjirekebishe, upeni mkutano Mkuu wenu meno ya KUCHAGUA Mwenyekiti wenu na si KUMPITISHA.
 
Kumbe ndio maana Kikwete anaongea sana, sasa itabidi na Samia aunde kundi lake huko ili awe salama, huyu mama anatakiwa kuwa vocal zaidi kuliko kuendelea kusemewa na Kikwete ataonekana dhaifu.
 
Bahati yenu, chama chenu kilikuwa kimetekwa!! Kilikuwa kinakwenda what we call "mwendo wa mateka...." leo hii mnaanza kufungua midogo na kusema madukuduku yenu - kweli ni jambo la kushukuru mno!!

Ila na nyie mjirekebishe, upeni mkutano Mkuu wenu meno ya KUCHAGUA Mwenyekiti wenu na si KUMPITISHA.
Mwendo wa mateka...."
 
1619762729264.png
 
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Mkuu unyenyekevu una thamani yake.
Sasawatu ndio tumeona "wasiojulikana " walitoka wapi, walioanzishiwa kesi hewa za kuhujumu uchumi nani alikuwa nyuma yake, kuibiwa wafanyabiashra kupitia TRA aliyeasisi mambo hayo.

Kwa kweli Tumpe mama Samia support yote hali ya utulivu na kawaida katika mustakabali wa nchi urudi tena, na watu waishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom