Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

Ngoma droo!!

Mamilioni ya Watanzania nikiwamo Nami, tupo tunaoamini mpaka Leo, kikwete hajawahi kuwa kiongozi Bora na hata hawezi tena na tena kuifanya nchi yetu iheshimike na ushauri wake bado hauna maana hata kidogo, afanyeafanyavyo,amebarikiwa tu kuwa na moyo wa kupuuza mambo, lakini kiungozi ni zero kabisa

Siwezi kusahau kipindi chake, ilikuwa ni hovyo tu, hakuna la maana, la maana ni Kwa hao waliofaidika na safari zake
 
Isijekuwa ccm inarudi kule ilikokuwa shida kukatiza mtaani ukiwa umevaa jezi ya ccm.
Mwanzisha thread ni mbinafsi. Haya mambo ya ma-vyama yanaiangamiza Tanzania. Tunatakiwa tubadili mfumo kabisa na wanasiasa wapungue sana kwenye uongozi. Pia siasa ipunguwe. Utaalam na taalaum ndiyo ziwe- incharge. Itakuwa vizuri zaidi kama serikali itaundwa kulingana na idadi ya kura walizopata vyama.
 
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
amefanyaje sasa hivi
 
Mzee wa pamba huyo hapo yeye ndio alikua rahisi bosi kaweka nne mama kakalia nusu kochi akijiekeza kwa Rais Kikwete enzi hizo sio picha ya sasa...
Kakalia nusu kochi "lugha laini" maana "lugha kavu" au ya moja kwa moja ni "kakalia kalio moja"
 
CHAMA HAKIDANDIWI KAMA DALADALA WASIOKIFAHAMU WALIKIDANDIA WAKAWAONA WALEZI WA CHAMA HIKI NA WAZEE HAWAFAI KABISA ( NADHANI ELIMU TUMEIPATA ) SISI TULIOCHEZA CHIPUKIZI TUKATUPWA JALALANI KABISA. ITS WAS SO HARD HARD HARD EVER...!
Safi kabisa mkuu.
Siye tumecheza gwaride la Vijana TYL.
Wengine wala hawajui.
 
Bahati yenu, chama chenu kilikuwa kimetekwa!! Kilikuwa kinakwenda what we call "mwendo wa mateka...." leo hii mnaanza kufungua midomo na kusema madukuduku yenu - kweli ni jambo la kushukuru mno!

Ila na nyie mjirekebishe, upeni mkutano Mkuu wenu meno ya KUCHAGUA Mwenyekiti wenu na si KUMPITISHA.
Chama kilitekwa haswa, na wenye chama hata muelekeo na itikadi tulikuwa hatujui kinaelekea wapi.
Cha kukera ni kuwekewa Katibu Mkuu ambaye hakijui chama.
 
Back
Top Bottom