Well done Jakaya Kikwete

Well done Jakaya Kikwete

Sio walidiriki kusema ni dhaifu serikali yake twiga walisafirishwa , madini tuliibiwa kwa kiwango Cha juu viongozi walijikimbikizia mali kupita vipindi vyote.
 
Kikwete aliharibu sana kipindi chake. Magufuli naye aliharibu sana kipindi chake. Mtihani ulio kwa mama Samia ni kutorudia makosa ya Kikwete na kutoendeleza makosa ya Magufuli.
Sasa hapo kwenye kutoendekeza, mbona tunaaminishwa na "wenye CCM yao" kwamba mama Samia Suluhu Hassan anaendeleza ya JPM. Hawa "wenye CCM yao" hawataki kusikia mawazo ya JPM yanapingwa, wanasema kila kitu mama atafanya kama JPM na "alifundishwa kazi na Shujaa wa Africa". Na yeye nadhani kwa kuogopa kelele zao, ameamua kuchomekea msemo kinamna "Kazi Iendelee"
 
Kumbe ndio maana Kikwete anaongea sana, sasa itabidi na Samia aunde kundi lake huko ili awe salama, huyu mama anatakiwa kuwa vocal zaidi kuendelea kusemewa na Kikwete ataonekana dhaifu.
We jamaa una shida gani na kikwete mbona umemkomalia sana?
 
Sio walidiriki kusema ni dhaifu serikali yake twiga walisafirishwa , madini tuliibiwa kwa kiwango Cha juu viongozi walijikimbikizia mali kupita vipindi vyote
Mbona chini ya ule ukuta biashara ya Tanzanite inaendlea kama kawaida.
 
Ngoma droo!!

Tupo tunaoamini mpaka Leo, kikwete hawezi kabisa kuifanya nchi ikaheshimika hata kidogo, afanyeafanyavyo,amebarikiwa tu kuwa na moyo wa kupuuza mambo, lakini kuiongozi ni zero kabisa

Siwezi kusahau kipindi chake, ilikuwa ni hovyo tu, hakuna la maana, la maana ni Kwa hao waliofaidika na safari zake
Haya kaa kakae na mavi yako nyumbani-Magu.
 
Kakalia nusu kochi "lugha laini" maana "lugha kavu" au ya moja kwa moja ni "kakalia kalio moja"
Daah Ngwale mkorofi aisee...lugha za picha tena ikipigwa kwa hizi camera za kisasa tunazielewa mno mno...
 
Jinga wewe unadhani bila umadhubuti wa awamu ya tano ungetangaza hata hiyo kadi yako?
Wale wanaojiita wana CCM sijui nini ndo walitaka kukiua chama na wangebaki na mashati yao ya kijani huku wakiyaficha au kuyapigia deki kwao.
Kumbukeni mlivyokuwa mnafukuzwa kariakoo kama mbwa na vipigo juu,
Kisha unajisifia?
Jinga kweli.
 
Sasa hapo kwenye kutoendekeza, mbona tunaaminishwa na "wenye CCM yao" kwamba mama Samia Suluhu Hassan anaendeleza ya JPM. Hawa "wenye CCM yao" hawataki kusikia mawazo ya JPM yanapingwa, wanasema kila kitu mama atafanya kama JPM na "alifundishwa kazi na Shujaa wa Africa". Na yeye nadhani kwa kuogopa kelele zao, ameamua kuchomekea msemo kinamna "Kazi Iendelee"
Lugha za kisiasa hizo
 
Back
Top Bottom