masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mwendo wa mateka...."Bahati yenu, chama chenu kilikuwa kimetekwa!! Kilikuwa kinakwenda what we call "mwendo wa mateka...." leo hii mnaanza kufungua midogo na kusema madukuduku yenu - kweli ni jambo la kushukuru mno!!
Ila na nyie mjirekebishe, upeni mkutano Mkuu wenu meno ya KUCHAGUA Mwenyekiti wenu na si KUMPITISHA.
Mvumilivu hula mbivu
HahahaahaaaMay Mwendazake's soul rest in whatever state God deems him fit and to never ever be another leader like him again. Ameeeen.
Naona mama anajieleza kuliko kuelekeza
Mzee wa pamba huyo hapo yeye ndio alikua Rais bosi kaweka nne Mama kakalia nusu kochi akijiekeza kwa Rais Kikwete enzi hizo sio picha ya sasa hivi hiyo...
Kikwete aliharibu kwa kutuletea "CHUMA".
Picha ya zamani!Naona mama anajieleza kuliko kuelekeza
Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana
Mkuu unyenyekevu una thamani yake.Kikwete huyu mtu bhana , daah Mungu ampe maisha marefu Sana Sana ... Nilimchukia Sana by 2015 Ila Kwa sasa nimeona thamani yake kabisa kabisa.. sometimes huwa tunajifunza Kwa Gharama kubwa Sana