Well done Jakaya Kikwete

kwake huyo ccm ni bora kuliko kitu chochote.

hapa ndipo taifa lilikiwa limefika 2015,tunaendelea kuanzia hapo.
 
Mtatoa milio ya kila aina, bundi sio bundi, mbwa koko sio mbwa koko, nguchiro sio nguchiro na nguruwe sio nguruwe.
 
Huyo Kikwete si yeye aliyejitapa kawaletea chuma, mzigo mzito mpe Mnyamwezi?

Leo unataka kumfanya kama si sehemu ya mfumo uliomuweka Magufuli?
 
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.

Mama anakuja huko huko unakokutaka mkuu. Kaa kwa kutulia katiba mpya iko njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…