Well done Rais Samia

Una akili kama za Makonda. Makonda ndiye aliyekuwa anawatumia polisi kufanya mambo kinyume na sheria lakini baada ya cheo kuisha analalamikia polisi hao hao kwa mambo yale yale aliyokuwa anawatumia kufanya.
Debe tupu huwa haliachi kutika!
 
Debe tupu huwa haliachi kutika!
You nailed it! Ndiyo maana viongozi wa hovyo hupenda sana kusifiwa na kuonyesha kuwa wanafanya kazi kwa bidii japo wanavurunda. Siku hizi hata misaada imepokewa kwa shangwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…