Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.
Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities.
Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi.
Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote kwa mtu yeyote.
TAKUKURU, TISS, TRA, POLISI , MAHAKAMA, walikuwa juu ya sheria.
Chombo kilichokuwa kimebaki bado mioyoni mwa wananchi kilikuwa JWTZ.
Katika mwaka huu moja umerudisha imani na amani.
Asante sana, sasa hata uwekezaji kwa siye wananchi wa kawaida unaanza kuonekana, bila wasi wasi wa kutembelewa na TASK FORCE waliokuwa wanawatoa upepo wafanyabiashara na baadaye kubambika kodi za kufuja mitaji.
Niseme tu wanaokupinga ni wale walifaidika sana na ubambikaki kesi za uhujumu uchumi, uporaji, utekaji , ukabila na vitu kama hivyo.
Songa mbele mama, amani ni tunda la Mungu mwenyewe.