Nimemwambia apande roli jumamos nimpeleke tanga tukaroge apate pedeshee, gharama zote juu yangu, mwambie achangamke huyo ooh
Bina kuna mtu anakushobokea hatareee eti uwe makamu wakeeee!!!! Yaan tamtakata pua
Ahahh nani tena huyo binamu? Akuombe wewe kwanza, maaana mimi na wewe tunamejiana, kila mtu anam manage mwenzie chezeya sie weye, aya nipe ubuyu huo nani huyo
Wewe ndio hujanielewa, i mean anatakiwa aachane na Diamond na abadirike waowaji wapo wengi tu, ila kama anataka kuolewa na Superstar nampa pole yake hakunaga ndoa ya Masuperstar.
Mkitaka kutoa mfano wa Jayzee mtakuwa mnajidanganya wenyewe, Wema inatakiwa awe na mahusiano na mtu ambaye si maarufu wala wa media atayafurahia maisha yake.
Hoyce Temu na Faraja Kota wote wameolewa na watu wenye pesa na maisha yanakwenda safi, why not Wema Sepetu? Kujichanganya na waswahili walioishia darasa la saba kwa ajili ya pesa atakuja kujuta maisha yake yote.
Na wewe si mwanaume, kamuoe wewe huyu wema kama utamuweza
Yani sanaaa ya bongo kizunguzungu ukiona kuna tukio tu basi nyimbo mpya inakuja hii sio nzuri kwenye kukuza sanaa kutengemea tukio ndio kitu kifanyike
Ahahaha nani tena huyo anataka kuwa makamo wangu? Huu ubuyu umenipita aseeh ebu nimegeeni ubuyu
mchovu mmoja hivi anaemind flag letu kimtindo halafu anaenda kwa sintah kujifanya anatuponda kimtindo
Utapauka sanaaaaa
Nisaidie na mimi binamu, ivi kwa mfano mtu umeishia la pili si unaweza kufundisha chekechea??
Nikuchekeshe, jana si nilitoka zangu kwenye mihanjo bhna, ilikuwa usiku , nikakodi piki pik huyoo, sasa kufika njian tukakuta mtu kagongwa watu kibao wamemzunguka, warumi nilivyo mbea nikataman kumsimamisha dereva nikaone umbea nkawa naogop nkachuna, kumbe dereva nae anataman kuona umbea, akaniuliza turud kidogo tukaangalie ajali, kumbe dereva nae alikuwa mbea warumi anasubir,mie tena ata ningekuwa nachelewa flight ningechelewa kwa ajil ya umbea, nikakubali bhana, akageuza piki pik mpaka eneo la tukio nakwambia mbio nikashuka nkashuhudie ajali, kufika kumbe ng'ombe aligongwa na hakufa tuliumbukaje? Wacha watu watuzomee mi na dereva wangu hao tukakimbia, nikacheka nikasema umbea huu hatar
Aaaaah aah kwenye topic gan uko nkajionee? Anasemaje tena huyo??