Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake


Aachane na ndomo kila mtu ana maisha yake mxiuuu, kwa hyo kama kaolewa (ikiwa kweli ) ndomo afanyaje?
 

jamanii!sijui hata wema anawazaga nini huyu dada!?yaani tabia ambazo ilikuwa afanye mwanaume badala yake anafanya yeye!!

Mwanamke anasura nzuri sana na umbo lakini hajithamini hata kidogo
 

Nakwambia anavyohangaika hyo yote kwa sababu ya kesho zari white party
 
Huyu huyu alishawahi kutuambia kejenga nyumba ya mamilioni kumbe amewekwa tu!!
 
Hapo sasa.Huyu ana lake zitooo kuliko maelezo.
Wema huyu tunayemjua sisi au yupi wa kuficha kitu?

Ndo nishangae, yani wema huyu huyu ya sirini ayatoe then ya kutoa afiche? Mxiuuu
 
Watu majasili kuliko morani,msululu aw wema kuanzia anasoma hadi sasa naujua anajaza bus za mkoani 5
 
Nakwambia anavyohangaika hyo yote kwa sababu ya kesho zari white party

Yaani sijui kwanini ana presha wakati yeye ndie aliyemuacha domo!!au kesho jamani kuna ndoa ya chibu na bi zari ndio maana wema ameamua aanze kujihami mapemaa??

Huenda wema amezipata nyepesi nyepesi
 
Mumesikia Director hajafurahia muviii yake kuibiwa credit na Wema kudai ilikuwa ni ndoa yake...wakati ni kuvi na gari la director ndio lilikuwa linatumika kikazi.

Mpo???????????
 

Attachments

  • 1430417853471.jpg
    35.3 KB · Views: 532
  • 1430417871994.jpg
    39.8 KB · Views: 535
Ana mrusha roho tu diamond na zari hana lolote!kuolewa kulivyokuw raha masikhara sasa??!unatamani dunia nzima ijue kama umeolewa halafu humfiche mumeo!wema gani wakuwa na siri!

Ameshindwa kujifichia siri ya ugumba ataweza kuficha mume na ndoa?

AHahahah mbea mwenzangu nimekupenda mwaaaah!! Umejua kunifuraisha, wema huyu aliyesema kuwa hawezi kuficha mtu ambaye yupo nae, tena leo aolewe afiche? Mxiuuuuu!! Ila umenichekesha binamu eti kama ugumba wake kashindwa kuuficha itakuwa mume? Ndo tujiulize
 
jamanii!sijui hata wema anawazaga nini huyu dada!?yaani tabia ambazo ilikuwa afanye mwanaume badala yake anafanya yeye!!

Mwanamke anasura nzuri sana na umbo lakini hajithamini hata kidogo

Ndio hayo ya kuacha mwanaume ukiwa bado unampenda kisa unasikiliza watu kuwa anaiba nyota....

Ndio haya sasa kuweuka, bora angekaa kimya na kufanya yake.

Timu ----- bado wanampangia life
 
Mwenzangu huko insta kuna picha dougiemasta kaweka eti kuna party ya harusi sijui nini!
Hawana lolote wanataka kuwachanganya watu tu na hivi kesho kuna party ya diamond na zari...

Tumeshawajua janja yao mbwa hawa mxiuuuu
 
Mumesikia Director hajafurahia muviii yake kuibiwa credit na Wema kudai ilikuwa ni ndoa yake...wakati ni kuvi na gari la director ndio lilikuwa linatumika kikazi.

Mpo???????????

Usinivunje mbavu mimi leooo
 

ahahahah yaani nakuambia hana lolote huyu binamu ni mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…