warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
jamani habari ndio hiyo WEMA kaolewa tayari na anaishi na mume wake kwa sasa lakini MONDS bado anaangaika na wanawake kila siku mara sijui ZARI ambae ana watoto kibao na tunajua hawawezi kufunga ndoa zaidi ya porojo kibao. sasa yeye ndie alimuacha wema lakini mwenzake tayari kaolewa(cha nini wakati wenzako wanawaza watakipata lini) lakini yeye yuko mara kule mara sijui zari white party swaga kibao. sasa hapa kwa upande wako nani mjanja hapa?
Aachane na ndomo kila mtu ana maisha yake mxiuuu, kwa hyo kama kaolewa (ikiwa kweli ) ndomo afanyaje?

