Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
EBu tusaidiane kushangaa wambea wenzangu mxiuuuu, anaota huyu
Wanatafta kiki mjini hata huyo director wake walipanga tu kujipatia kiki mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EBu tusaidiane kushangaa wambea wenzangu mxiuuuu, anaota huyu
Ndio hayo ya kuacha mwanaume ukiwa bado unampenda kisa unasikiliza watu kuwa anaiba nyota....
Ndio haya sasa kuweuka, bora angekaa kimya na kufanya yake.
Timu ----- bado wanampangia life
Yaani leo nimeamini kweli wema anampenda chibu duh!sipati picha aliko huko leo wema na hii michambo yetu sijui anaisikiaje!!dog masta nahisi anamsomea kila mitandao watu walivyoandika!!halafu akiwasha tu tv anakutana na nyimbo ya domo ya NASEMA NA WEWE!!

Yaani amewaachia sijui timu lake wampelekeshe na kwa ajili yeye juu hajui kujipangia kaisha baki kusikiliza basi ndio wanammaliza...
Atakuwa analia si akikiri this month kuwa bado anasikiliza nyimbo zake kwenye gari...na sms alituma haikujibiwa...alitaka jaribisha baby come back...kumbe alipomuacha kwa kumpa likizo D likizo kaichukua kweli na kuachia kabisa.
teh teh tena anaikutia kwenye ule mstari "uso hiyana fedhuli uongo umekujaa" mwee ndo nini kutudanganya wenzie
Alisemaga hataolewa na mtanzania imekuajeeeeeee,mi nina kopo langu
Ata huyo mbongo wa kumuoa atokee wapi? Mxiuuu ni movie hyo mpya ya jb, limeumbukaj manina kupenda kuolewa wakat ana nuksi mpaka kwenye kisimi mxouuii!!
warumi team panya road wamekuvamiaje huko insta maana iyo mitusi hatariAta huyo mbongo wa kumuoa atokee wapi? Mxiuuu ni movie hyo mpya ya jb, limeumbukaj manina kupenda kuolewa wakat ana nuksi mpaka kwenye kisimi mxouuii!!
Ahhahaaa!yaani we acha tu mpenz sipati picha leo