Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

Director anasema...
 
Attachments

  • 1430418752831.jpg
    1430418752831.jpg
    43.5 KB · Views: 656
Ndio hayo ya kuacha mwanaume ukiwa bado unampenda kisa unasikiliza watu kuwa anaiba nyota....

Ndio haya sasa kuweuka, bora angekaa kimya na kufanya yake.

Timu ----- bado wanampangia life

Yaani leo nimeamini kweli wema anampenda chibu duh!sipati picha aliko huko leo wema na hii michambo yetu sijui anaisikiaje!!dog masta nahisi anamsomea kila mitandao watu walivyoandika!!halafu akiwasha tu tv anakutana na nyimbo ya domo ya NASEMA NA WEWE!!
 
Alisemaga hataolewa na mtanzania imekuajeeeeeee,mi nina kopo langu
 
Yaani leo nimeamini kweli wema anampenda chibu duh!sipati picha aliko huko leo wema na hii michambo yetu sijui anaisikiaje!!dog masta nahisi anamsomea kila mitandao watu walivyoandika!!halafu akiwasha tu tv anakutana na nyimbo ya domo ya NASEMA NA WEWE!!

Yaani amewaachia sijui timu lake wampelekeshe na kwa ajili yeye juu hajui kujipangia kaisha baki kusikiliza basi ndio wanammaliza...

Atakuwa analia si akikiri this month kuwa bado anasikiliza nyimbo zake kwenye gari...na sms alituma haikujibiwa...alitaka jaribisha baby come back...kumbe alipomuacha kwa kumpa likizo D likizo kaichukua kweli na kuachia kabisa.
 
teh teh tena anaikutia kwenye ule mstari "uso hiyana fedhuli uongo umekujaa" mwee ndo nini kutudanganya wenzie
 
Last week nilimuona Sea Criff Hotel alikuja na na Mwanamke mwenye umbo kubwa kiasi kuonesha ni mtu mzima ila anafanana na Wema pia kulikuwa na Kijana fulani kana kwamba walikuja kupanga mipango fulani... so sikuelewa kama ndie huyo aliyekuwa anatarajia kumuoa au lah... ila muonekano ulikuwa ni mpango kabambe.. Hongera zake atulie sasa
 
Duh nimeamini hauwezi kumfurahisha kila lazima HATERZ wawepo kwenye maisha.
Uyu binti kanangwa sana kua kicheche na kelele kua atulie,Mungu mkubwa kaolewa tumerudi na wimbo mpya kuonyesha chuki tu naamini akipata hata mimba dua za azae chura zitakua nyingi pamoja na mapungufu yake ila kwa hatua hii aliofikia anastahili pongezi(kama yanayosemwa kua kaolewa ni kweli)
ALL THE BEST WEMA STAY BLESSED.
 
Yaani amewaachia sijui timu lake wampelekeshe na kwa ajili yeye juu hajui kujipangia kaisha baki kusikiliza basi ndio wanammaliza...

Atakuwa analia si akikiri this month kuwa bado anasikiliza nyimbo zake kwenye gari...na sms alituma haikujibiwa...alitaka jaribisha baby come back...kumbe alipomuacha kwa kumpa likizo D likizo kaichukua kweli na kuachia kabisa.

alikuwa anabeep fire!kweli mwenda tezi na omo marejeo ngamani,wema huyu huyu amefikia hatua hii??
 
Wema alivona misifa afiche mume hivihivi????? Kwel haya ya firauni!!!!!
 
Ata huyo mbongo wa kumuoa atokee wapi? Mxiuuu ni movie hyo mpya ya jb, limeumbukaj manina kupenda kuolewa wakat ana nuksi mpaka kwenye kisimi mxouuii!!
warumi team panya road wamekuvamiaje huko insta maana iyo mitusi hatari
 
Last edited by a moderator:
Humu ndani hakuna aliyemwonja Wema atupe unyunyu.kidogo kama Wema ni mtamu au ndo kawaida tu anajua majambo ndo hamna hata TBS
 
Back
Top Bottom