Tetesi: Wema athibitisha ujumbe wa sauti kati yake na Mbowe ni wa kweli

Status
Not open for further replies.
Hii movie nayo itapita wataunda nyingine nayo itapita and the life goes on.
Kama walichemka ile ya Rwakatale na ugaidi, chini ya director mwongozo movie the fidel marshal Mwigulu, tusitegemee jipya hapa. Ngoja waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hamtashinda kamwe, endeleeni na fujo zenu, mnafikiri Mbowe na Wema ni wajinga hadi wajirecord sauti
 
Sina undugu na zuzu wa aina yako, wala hawezi kutokea
 
Nendeni kwenye instagram page ya edokumwembe mtakuta voice note then mje mpime kama hii voice note ni original au fake
 
Acheni ujinga cdm. Mmechafuliwa na mvua nguo popote
 
Ni Steve Nyerere,akiwa na mtu anayejirekodi kwa kumuigiza Wema
Sasa huyo mtu kachoka kurudia mara kwa mara ili aipatie sauti.Ndio maana anasema "Steve mi nimechoka bhana"

Michezo ya vijana wa mjini,wasiofanya kazi kwa kutegemea mizinga ya wanasiasa

Yaani huyo mtu alichoka na steve hakusikia kama amesema amechoka akaisambaza hivyo hivyo?sikilizeni nyie,acheni kutumia manguvu mengi kukanusha,kausheni maisha yaendelee tu
 
unajua nitashangaa kama mbowe anapiga na wema ni kweli,the girl is empty headed
halafu ni kama ana kizizi flani..umenotice eti anamuita mbowe kaka wakati mbowe anaweza kumzaa!!!!!
kama ni kweli hii skendo ni zaidi ya watergate kulaleki
Aisee mkuu umewaza mbali sana kama mimi. Mi mwenyewe wakati nasikiliza uho "uharo" kitu cha kwanza kunotice ni hilo shudu. Watu muwe wapenzi alafu muitane kaka au dada wapi na wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…