Wema, diamond... Hakuna ndoa

huyu Wema atulie sasa na atafute mtu mwenye heshima zake.....hawa kapuku sijui huwa anawatoa wapi.....huyu diamond alitaka sifa ili aonekane nae yumo
point...ila mimi mda mwingi sana nilikuwa na wasi wasi na huu uhusiano ati
 
nawashangaa mnaomlaumu Wema wakati mwenye matatizo hapo ni hako kakijana....ila Wema na wewe achana na vidude vya namna hii jamani wakati mwingine usiusikize moyo dunia nyingine hii shauri yako utaumalizia uzee Tandale
 
ok hebu jibu kuleeee,leo nna njaa nawe igweeeee nadhani hajarudi
 
I can sense some truth in these remarks
 
Celbrity fame strategy... to remain on headlines..
 
Huyo diamond ni mpuuzi na mshamba tu!kwani kabla hajamuingage wema alikuwa hajui tabia zake?limbukeni tu wa umaarufu!stupid boy!
 
they didn't real fell in love....but in infatuation..
 
Penzi kama kiti cha basi,
Ukishuka anakaa mwengine.
Anapatikana wapi huyu binti nami niingie kwenye list?
Ila tu mi sio Superstar ingawa fedha ya kumlea ninayo

Mbona anapatikana sana tu, nimemuacha maeneo ya sanyansi mida hi hi.
Wahi kabla hajaondoka maana kaniaga anaenda zake Ilala majira ya saa 10 jioni.
 
Jamani naomba namba ya wema aliyekuwa nayo haka katoto nakapendaga halaf nakaonea huruma kanavyteseka
 
Baada ya TID,Mr. Blue,Kanumba,Jumbe,Chaz Baba na hatimaye Diamond tusubiri tuone sasa ni zamu ya nani kumchukua Wema
 
Penzi kama kiti cha basi,
Ukishuka anakaa mwengine.
Anapatikana wapi huyu binti nami niingie kwenye list?
Ila tu mi sio Superstar ingawa fedha ya kumlea ninayo
Huna chakufanyia hizo pesa?!!!!! pole mkuu
 
We ni kaka yake Wema sepetu?? Manake imekuuma kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…