Wema na huruma iliyofanywa na mkuu wa shule nilosoma

When teachers were teachers sio leo walimu wanatwisha mimba wenyewe washachoka mimba za watu wa mtaani .

Keep resting Headmaster
 
Story tamu 😍
 
Mwanangu kumbe tangu kitambo ulikuwa unapiga phoenix?🀣
 
Mlongo cocastic na Mimi nitaleta story yangu naanza kuiandika leo usiku ikiisha yote nitaiweka hapa.
Jinsi binti wa Kiyao alivyokimbia na nguo zangu wakati naogelea Ngungani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naisubiriii kwa hamuuu hiyoo story, mlongo fanya kweli usiniangushee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…