Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Nakuzingua tu dear. Ninependa story yako
hope rafiki yako alifaulu na aliendelea na shuleKwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hope rafiki yako alifaulu na aliendelea na shuleKwanini
🤣🤣Nini hii
Hii ilinikuta kibondo early 90's😊😊😊
Nimeanzisha na Mimi uzi maisha ya Kijijini yasivyokuwa na siri. Ndani ya mwezi nilijulikana kuliko hata mwenyekiti wa Kijiji 🤣
Mungu ambariki huko aliko..Nasikitika hakuendelea advance lkn alipata chet akaenda kusoma chuo Cha ufundi
Kama kimasihara😁 ngoja niweke kambiMko salama nimepata wasaa mzuri Sana wa kuandika kisa hiki nimekaa nacho miaka mingi
Mnisamehe sio mwandishi mzuri
Nimesoma shule flani ya kata huko kijijini kwetu nakumbuka tulikuwa na mkuu wa shule mkali kweli kweli alikuwa Hana utani hata kidogo linapokuja suala la nidhamu na mambo yahusuyo shule
Ni yule Mwalimu ukimuona anakuja unaacha unachofanya unatulia kumsikiliza alikuwa mahir sana pia wa Somo la kiingereza
Wakat tunasoma sheria zilikuwa Kali sana na watu walikuwa wanakatishwa masomo ikibainika Kuna utovu wa nidhamu
Tukiwa tumebakisha wiki 5 kufanya mitihani yetu ya kumaliza kidato Cha nne nakumbuka kulikuwa na mazoezi yanaendelea Kwa ajili ya sherehe ya mahafali ambayo ilipangwa kufanyika wiki mbili kabla ya mitihani
Masomo yalikuwa yanaendelea pia kama kawaida
Siku moja tukiwa darasani asubuhi nikaja kuitwa kuwa nahitajika na mkuu wa shule ofisini kwake
Kwanza darasa Lilikuwa kimya kilamtu anashangaa nn kimenipata nikaingie ofisi Ile ambayo inaogopwa nikaanza kutetemeka nikaanza kujiset Vaa vizuri nikachomekea nikafuta viatu na makaratasi
Darasa lipo kimya muda huo nasikika mm navosogeza meza nipite nikaitike wito 😂😂😂nikaanza kuelekea ofisini hapo mapigo ya moyo yakiwa yamebadilika uoga mwingi pia nilikuwa ni mtu sijui kujieleza mawazo yalikuwa nimefanya Kosa gani niitwe ghafla hivi
Inaendelea
Na nyote mkapata dv 4 ya 32 sio.Basi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza
mm na Hadija hatukukaa pamoja sabbu ya majina yenu yalikuwa tofaut tulipangwa Kwa alafabet mkuu muda wote anatukazia macho Kwa zamu nafikiri alikuwa na hofu watu wasije wakachomoa betri kwenue sherehe maana Kuna watu Dunia hii wanapenda kufurahia matatizo ya wenzio
Mama hadija alikuwa high Table Kwa sabbu ni mjumbe wa kamati ya shule
Alhamdulillah mambo yaliemda kama yalivopngwa hatimaye sherehe ikaisha kipind hiko mamaangu alikuwa amesafir so walikuja wajomba na auntzangu nduguzake Hadija walinipiga kampani sana tukafurahi japo kiasi yakaisha wiki 2 za kujiandaa na mitihani zikawa zimebaki hapa ndipo Ilikuwa kivumbi na jasho
Kunamwalimu alikuwa hampemd hadija sijui kulikuwa na shida gai katiyao 😀 alikuwa ni Mwalimu wa ovyo ana kauli mbaya hapedwi na wanafunzi Wala haelewani na walimu wenzake na tushawahi mshuhudia anambishia mkuu live
Jumatatu ikawadia shule ikaendelea ni kukaza msuli wa mitihani yule ticha alikuwa anatufudisha kiswahili akawa akiingia darasani anamkazia macho hadija ni kama vile habari zimemfikia alafu anataka amwage ugali
Asubhi tukamaliza vipindi salama mda wa masomo ya jion ukafika huwaga situliag darasani Yani kuzurula nipo huku mara kule 😀😀😀natoka nje kwenye kordo akaniita njoo
Mwalimu L;rafikiyako anashida gani
Mimi;nani nikamtaja rafikiyangu yule kipenz kabisa
Mwalimu L;sio ni hadija
Mimi;kwanini
Mwalimu L;kama hayko sawa hiv kama anaumwa
Mimi;namuona kawaida tu hata haumwi akacheka
Akasema sawa nenda darasani akaanza kumfata fata hadija na kumhoji akawa anakana na kumkwepa
Hofu ikaanza Yani tukisikia kengele tunawaza muda wowote mtu anapewa barua hadija alikiwa Hana Raha
Mimi Sina amani kabisa Yani Kila mtu akiniagalia usoni naona kama anataka kuniuliza
Sikumoja niliitwa na wanafunz wenzangu nyuma ya choo walikuwa kama 8 akiwepo na shost et kuniuliza kwann mkuu annaiita ita au ananitaka nilistaajabu sana kikao kile nikawaambia sijui kma ananitaka nikaondoka nikawaacha wanajaadiliana
Finnaly tulimaliza salama japo Kwa minde na stress za hali ya juu
Siku tuliyofanya Ile mitihani hatukuamini kama shule iliisha binafs nilikuwa nateswa na Ile haliyake viatu vyake vilikiwa sio vidogo
baada ya shule
hadija akatunzwa na wazazi wake Hadi alipojifungua bahati mbaya mtoto akafariki
Yule baba namkumbuka sana alipambana sana kumkingia kifua hadija Hadi mwisho wa mitihani ila Sasa ameshafariki
Mungu ampumzishe mahali pema peponi 🙏
Mpunguzie adhabu ya kaburi,innalah MwasabirinaBasi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza

Ndio ikeisha hadithi yetu hapa au tutegemee muendelezo?Basi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza

Mimba ya hadija kuhojiwa aitwe AaliyaBasi sherehe zikaanza bahat nzuri mgeni rasmi lichelewa nimesema bahat nzuri sabbu hatukuwa na Raha kabisa hivo sherehe ikaenda haraka sababu ilichelewa kuanza

Sawa lishangazi nimekupata barabaraHujawahi kuona mzazi kumuhoji mtoto kupitia shangazi?au bibi?
Kma umewahi hata kusikia hili haliwez kukushangaza
Mzima nmekumisMrembo wangu,mzima?