Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Duh!,nimecheka kweli. Leo mashabiki wa Wema sijui wanasemaje au ndio huzuni mara elfu×5Pole kwa team yake maana anayapelekesha kama mazombi,akilia yenyewe yanalia mara 1,000 akicheka yenyewe yanacheka mara 100,000.
Inabidi hii miwani ya 3D tuondoke nayo tuDaah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
Miguu akimaanisha bolo.. wee wa wapi!!! unataka aweke tupu za mtu humu...Weka picha ya miguu ya Idris
Hilo kapu liko wapi?Kigogo, Jina kapuni...!
Le baharia
jamani baharia hawezi ule mziki labda kama kupiga selfie,baharia mwenyewe njaa na yy anadandia kwa masupa bilioneazzNext ni yule billionaire wa social media, mzee wa downtown.
hahaha haa haa Kaboom vp uko tayari tuanze process?, Raimundo ametoa suggestion hukuMadam Evelyn Salt MSAGA SUMU karudi aisee.
Kaboom jipange nafasi iko wazi kwa madam, hope ulichukua contacts siku ile ulipoenda kwenye tamasha lake la valentine.
yaani sterling anakutana tu na jambazi eti muvi ndo inaisha,hapa chenji muhimu aiseeDaah..Movie ya Wema na Idris imekuwa fupi sana aise..Inabidi waturudishie chenji zetu
Can anyone predict who is next after idris?
Idris is dumped now......550million washed !
Lool àt you poor idris
Acha movie iendeleeKuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"
Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
series nyingi hadi rahaKuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"
Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
Pesa zipi? [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu binti pesa zake huenda zina sharti la kutokudumu na bwana na kutoa mimba.
UMEWAZA MBALI HADI NIMEPENDAKama cdm wanavyo jaribu kwa Lowassa
kunguru ni kunguru tu hata umfuge na kuku atajisahau siku atalia kwaaaa kwaaaa kwaaaaa.......Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"
Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
series and episodes mpaka raha kama isidingo vileHii soap opera imefikia episode namba ngapi?