Wema na Idris waachana

Wema na Idris waachana

Status
Not open for further replies.
Sijawahi amini kuwa Wema alikuwa na mimba.
 
Pole kwa team yake maana anayapelekesha kama mazombi,akilia yenyewe yanalia mara 1,000 akicheka yenyewe yanacheka mara 100,000.
Duh!,nimecheka kweli. Leo mashabiki wa Wema sijui wanasemaje au ndio huzuni mara elfu×5
 
hahaha haa haa Kaboom vp uko tayari tuanze process?, Raimundo ametoa suggestion huku

Kaboom kwa mtaji wake wa vifuniko vya asali atasavaivu kwa wiki 1 na siku 5 tu.

Ukipiga ratio za kimahesabu kama Idriss aliyekuwa amebaki na mil 67 wakati anakutana na Wema amekaa kwa Miezi 4 na siku 7, je Kaboom mwenye 6,237,400 atakaa kwa siku ngapi?
 
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange huyo akienda mbele zaidi na kufuta picha za jamaa huyo kwenye IG yake. Idris na yeye anaingia kwenye orodha ya jamaa walioingia kwa Wema na kuonja utamu na kisha kupitiliza.
Tulipompigia simu Wema alikataa kuzungumzia suala hilo lakini pia alipoulizwa kipi atakimiss kutoka kwa Idris kama wataachana alisema "Kwa kweli miguu ya Idris inaniacha nimepondeka kama nyanya kwa kweli naipenda sana hasa jinsi ilivyojikunja kwa chini,kwa kweli sijawahi kuwa na mtu mwenye miguu kama ya Idris"

Pia tulipotaka kujua kama amemalizana na Tanesco alikata simu na haikupatikana tena, mwandishi wetu anafuatilia suala hili kwa ukaribu ili kuwajuza nini kinaendela hasa ukizingatia tayari tumeishapandikiza vinasa sauti kwenye nyumba za maceleb hawa
Acha movie iendelee
ImageUploadedByJamiiForums1456228272.535932.jpg
 
series nyingi hadi raha
 
kunguru ni kunguru tu hata umfuge na kuku atajisahau siku atalia kwaaaa kwaaaa kwaaaaa.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom