Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa


Watu wamenuna....

Kisa mil 50

Wenzenu wanaongezaga sifuri jamani... sio wema wala domo

Jamani MSAGA SUMU ni muuza kahawa, msichukulie story zake serious, anatakaga tucheke!
 
Wewa Sepetu kwa anavomtamani Diamond, kitendo cha kushirikishwa kama salome kwake ni kama kuokota dodo chini ya mkuyu, vipi akatae ofa ya 50M?
wajinga wachache wataamini upuuzi kama huu!
 
Angeboa tu huyo hana lolote...Hamisa kafunika balaa...
 
Taja radio au bado mnataka kumwandama mtoto wawatu.
 
uwongo wema hajasema
...huu uwongo acheni...
video queen hata million hawalipwi...
wanaolipwa atleast vizuri wenye majina..
hawa wengine laki 2 laki3
wengine kina gigy mpaka 20000/=
wengine bure kabisa
Giggy elfu 20!!!!!???
 
NA ILE NATAFUTA KIKI.. walimlipa Sh ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwongo wema hajasema
...huu uwongo acheni...
video queen hata million hawalipwi...
wanaolipwa atleast vizuri wenye majina..
hawa wengine laki 2 laki3
wengine kina gigy mpaka 20000/=
wengine bure kabisa
Tuliambiwa kuwa video ya NUMBER ONE iliyofanyika South Africa walitumia dollars za America kiasi cha kama 30,000 name ndiyo video ilikuwa bora kwa viwango vya kimataifa. Hii ni gharama zote.
Sasa iweje leo Wema adai Million 75 pekee yake?!!! Mbona hata ile million kumi aliyotaka kwa Rayvanny Kyle kushoot video 'Natafuta kiki'pia hakupewa hata Mia?!!
Na bado anataka kwenda mahakamani?!!!
Huyu binti asijipandishe hivyo. Si daraja lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…