Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nichekee mie ni lin huyu mwanamke atakuwa kiakir maana akakuza makalio tuu,kwa kumuangalia tuu je anaweza kukataa milion 50 aliyotangaziwa na kama ana hela kweli kwann anacheza visingeli jukwaani,huyu bint hawez kuwa na akir hata siku moja ameishia ujinga tuuh kwanza ana biashara mjini huyu range ipo wapi nyambafu zake na kiki zake za kifala

Watu wamenuna....

Kisa mil 50

Wenzenu wanaongezaga sifuri jamani... sio wema wala domo

Jamani MSAGA SUMU ni muuza kahawa, msichukulie story zake serious, anatakaga tucheke!
 
Wewa Sepetu kwa anavomtamani Diamond, kitendo cha kushirikishwa kama salome kwake ni kama kuokota dodo chini ya mkuyu, vipi akatae ofa ya 50M?
wajinga wachache wataamini upuuzi kama huu!
 
Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

"Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?
Angeboa tu huyo hana lolote...Hamisa kafunika balaa...
 
Taja radio au bado mnataka kumwandama mtoto wawatu.
 
uwongo wema hajasema
...huu uwongo acheni...
video queen hata million hawalipwi...
wanaolipwa atleast vizuri wenye majina..
hawa wengine laki 2 laki3
wengine kina gigy mpaka 20000/=
wengine bure kabisa
Giggy elfu 20!!!!!???
 
NA ILE NATAFUTA KIKI.. walimlipa Sh ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwongo wema hajasema
...huu uwongo acheni...
video queen hata million hawalipwi...
wanaolipwa atleast vizuri wenye majina..
hawa wengine laki 2 laki3
wengine kina gigy mpaka 20000/=
wengine bure kabisa
Tuliambiwa kuwa video ya NUMBER ONE iliyofanyika South Africa walitumia dollars za America kiasi cha kama 30,000 name ndiyo video ilikuwa bora kwa viwango vya kimataifa. Hii ni gharama zote.
Sasa iweje leo Wema adai Million 75 pekee yake?!!! Mbona hata ile million kumi aliyotaka kwa Rayvanny Kyle kushoot video 'Natafuta kiki'pia hakupewa hata Mia?!!
Na bado anataka kwenda mahakamani?!!!
Huyu binti asijipandishe hivyo. Si daraja lake
 
Back
Top Bottom