Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond



Hakuna justification ya kutomsaidia mtu mwenye maradhi life threatening, even a worse enermy.
 
Si baba ni baba tu right mgejua watoto wawatu wanavyoteseka huko mtaani,msingeongea hvyo..ni wanawake wengi sana wanatelekezwa na waume wao,hyo itakuwa fundisho kwa wanaume wengine?
 
Hakuna justification ya kutomsaidia mtu mwenye maradhi life threatening, even a worse enermy.
Nimesema kusaidia ni muhimu though hii issue ya huyu dogo inachangiwa sana na vyombo vya habari na social media kutokana na jamaa kuwa close sana na mama yake kuliko mzee wake, support kwa mwenye busara lazima iwepo ila ile feelings na ukaribu Inategemea na pande mbili husika kutokana na kabla mawasiliano yslikuaje si unajua tena mdau kama ulikuwa una matatizo lukuki alafu ukayapangua moja baada ya jingine alafu wadau kama wewe mmenitosa nachofanya ni kupambana
 
Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.

Mkuu nakuhakikishia kama Diamond angekuwa na makosa hasingifanikiwa kimaisha, Wazazi ni Miungu wetu hapa Duniani lakini na Mungu ana angalia pande zote - binafsi nikiangalia sura ya huyo mzee na malalamiko yake naona ana habour visasi na mzazi mwenzie na Diamond mwenyewe - anafikiri yeye ndiye anapashwa kuwa na mamlaka juu ya mwanae sio mama yake!!

Nakuhakishia mzazi mwenye hekima na busara hata jama analala na njaa hawezi kuitisha wandishi wa habari na wasanii na kuanza kuanika tofauti zao za kifamilia adhalani, ukiona mzazi anafikia kudhalilidha mtoto wake adhalani basi huyo ni mtata sana - na ukimwangali kwa umakini utaona mambo yake yamekaa ki sanii sanii "mission town" ata vaa vaa yake inadhilisha hilo, ndiyo maana hakuweza kuishi na mama yake Diamond, he looks highly iresponsible no wonder ....

Si msemi vibaya lakini ni vizuri tukiwa wakweli, siyo kila saa kumlahumu Nasib wa watu. Nasib naye ni binadamu nina uhakika anamsaidi saidia Baba yake lakini Baba wengine wakorofi, so ajabu alikasirika kwa nini Nasib alimununulia gari Marehemu Muhidin Gurumo kwa nini yeye hapewi Vogue - hapa naleta utani - tutasema mengi lakini mwisho wa siku huyo Baba ajirudi sio Diamond.
 
hayo ni matusi makubwa sana kwa diamond!!!halafu wema aache sifa
Pana namna mbili za kutoa yaani dhahiri kama anavyotaka kutoa wema watu tukajua kuwa wema kasaidia mtu na pia kuna kutoa kwa kificho watu wasijue kuwa umetoa.
Hapa unaweza kupata thawabu kwa njia zote hizo mbili ila tu je ulipotoa kwa dhahiri ulikuwa na nia ya dhati kusaidia au ulitaka tukusifu? Kuhusu Almasi anatakiwa kuikaa na mzazi wake kitako wote binadamu sisi na hatujakamilika.
 
wema anatoa ili kushow off tu,angefanya kimya kimya bass...!!
diamond na baba ake bwana ni special case!!

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Ndio shaka ya wengi ipo hapo dhumuni lake ndio watu wanahalalisha kuwa ni kutaka u spoon tu na si jingine.
Kuna mkaka anaitwa ahmedy albaity ana matatizo sana analala tuu anahtaji pesa nyingi kutibiwa namuonaga Esha Buheti tu na yy kwa kua anamfahamu na Wakonta nae pia anahtaji sana msaada leo amuone mzee wake diamond[emoji57] [emoji57] [emoji57] aende tu
 
Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
baba ni zaidi ya kumpatia mimba mwanamke, wewe kama una baba yako nenda kamsaidie sio kila siku kujadili baba wa wenzio. mnawatia mimba wanawake kisha mnawakataa na mnadiriki hata kusema kuwa hamuhusiki na mimba kabisa, mkiona mtoto kafanikiwa mnakuja mbio. Marehemu 2 pac alitaka kumuuwa baba yake kwa sababu ya ujinga huu.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna mkaka anaitwa ahmedy albaity ana matatizo sana analala tuu anahtaji pesa nyingi kutibiwa namuonaga Esha Buheti tu na yy kwa kua anamfahamu na Wakonta nae pia anahtaji sana msaada leo amuone mzee wake diamond[emoji57] [emoji57] [emoji57] aende tu
Yaah yule kijana niliona post yake humu nadhani hata lara kuna kipindi alimzungumzia na kuhamasisha watu kumchangia haya mambo ya kutoa yana siri kubwa wengi wetu hupenda kutoa ili tuabudiwe nakunyenyekewa.
 


Ni mtazamo wako. Kwa hiyo nauheshimu, Ila kwangu Mimi ningemsaidia tu.
 
Yaah yule kijana niliona post yake humu nadhani hata lara kuna kipindi alimzungumzia na kuhamasisha watu kumchangia haya mambo ya kutoa yana siri kubwa wengi wetu hupenda kutoa ili tuabudiwe nakunyenyekewa.
Ndo kina wema sasa...!
My foot..!!anaacha kujenga visima sehemu zenye uhitaji kusaidia ndugu zake vijijini[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Jamani nashindwa kushangaa, hivi huyo wema anauchungu sana na babake dangote au anatafuta kurudi kwa nguvu, mimi ningemshauri hizo hela anazotaka kujipendekezea akanunua kiwanja ajenge japo vyumba viwili na yeye awe na kwake aitwe mama mwenye nyumba sio mama wa kupanga na kutoa misaada kwa showoff..... [emoji57]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wema tunae humu jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…