uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mkuu ukibahatika kulelewa na wazazi wote wawili hii kauli ya baba ni baba unaitoa kwa moyo mmoja si kama mtu ambae amelelewa na mama. Of course unatakiwa umsaidie though ile feeling nae unakuwa huna kabisa unless awe aliingia mitini mkaja mkakutana ukubwani na Si kama kamanda huyo ambae watoto wake walikuwa wanakwenda kwake but no ushirikiano pia na mama wa huyo mdingi anawanyanyapaa, nadhani hiyo issue inakuzwa na vyombo vya habari sidhani kama dogo hapeleki chochote kwani sisi observer tunataka tumwone akiambatana na mdingi pia (kitu ambacho kigumu maana mtoto akilelewa hata kama na shangazi atamsaidia mzazi wake lakini atakuwa close sana na shangazi yake kwa kuwa amemzoea yaani atakwenda kwa wazazi alafu huyo anasepa kule alikokulia)
Hakuna justification ya kutomsaidia mtu mwenye maradhi life threatening, even a worse enermy.