Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Wema kachanganyikiwa jamani....hali mbaya...
 
Ohooooo......kakubaliwa.
Another threat to mawindo yangu..

Hamkubalie wapi, wema ----- ye anaona ustaa dili kuliko Pesa , hawaon wenzie akina k Lyn wametulia na vibabu wanakula bata za kufa mtu , yeye anahangaika na maisha na ivi visharo baro wanaoshea nao miboo, kaz kwel
 
Alishindwa kusoma alama za nyakati.

Mama wawili anakula bata za kufa mtu.sijui ni kwanni hakufikiria..

Dah.ndio hivyo lakini upele humpata asiyekuwa na kucha
 
Back
Top Bottom