Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

Drama queen kwenye ubora wake
Kipindi kile alivaaga shela ilikuwa nini maana mapichapicha tu
 
Mambo ya Wema kuvaa dildo na inakua zamu zamu.... Huyo shemela wako anatia shaka.
 
Reactions: irk
Mambo ya sepenga sijawahi kuyaamini hata kidogo ni kama ya wale wa kidumu chama
 
Reactions: irk
Hata sijui
Aliachana naye n akakiri mwenyew kua watu wache kumpost yeye na idris maana na 40 walishamaliza(matanga)nend page ya wema daily ndio alipewa huo mchambo kutoka kw wema
Kinachonishangaza hata miez sita sidhan kama imefika wema ameshapata mtu wa kumshobokea hahaha wonders shall never end
 
jamani watu wana nyota za ndoa!okoeni JahAzi kwangu hata ndo moja
 
Reactions: irk
Ahahaaaaaah...
Kweli ya dunia mengi...
Huyu Bwana leo anamnyapianyapia Wema Sepenga..!
Wakati kipindi hicho tupo nae Kurasini Sec School alikua NYUMBU tu..!
Dah..!!!
Hahhahaha uwiiiiiiiiiiii nmecheka kwa sauti hadi watu wamenishangaa
 
Reactions: irk
Mpaka hujamzoea sepenga na drama zake tu kweli hii nchi ina vilaza
 
Reactions: irk
Ndoa za umaarufu kama za wenzangu hawa haziwezi kudumu na kuwa na maana ya ndoa
 
Reactions: irk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…