Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Dah.... Kutoka MAtar co hadi malaika....si mchezo[emoji87] [emoji87]
 
Ataishia hivyo hivyo kuhama na kujipendekeza
 
Wema anatafuta kutoka kwenye mdomo wa mamba, anaogopa jela kama vile Lulu, anajua mahakama ya siku hizi mungu wao ni wa hapahapa na makonda ndiye malaika.
 
Labda ni kwa imani yake yeye na dini yake mpiya ambayo inayo malaika wa namna hii
 
Umepotoshwa mshamba mkubwa wewe tofaut ya MUNGU na mungu iko moyon na kwenye matendo siyo kwenye maandiko

Acha kuisingizia ccm kwenye kila kitu maana kuna siku mkeo atapigwa miti na utaanza kulia lia na kuisingizia ccm
kwa nn Biblia inatofautisha kati ya Mungu na mungu...toa ushamba wako hapa
 
Kwa akili yako unaona kati ya mungu na Mungu kuna tofaut siyo


le mbeibe mungu ni miungu!
ila Mungu ni akaaye palipoinuka

mfano; unaweza sema John ni mungu!ila sio MUNGU(HIi lazima ianziwe herufi kubwa,au MUNGU)
 
Kuna watu washamba had mnachosha kwahiyo mungu na MUNGU kuna utofaut
Kwa wakristo kuna tofauti kubwa sana.
Na kwa kiswahili ndio kuna tofauti kubwa zaidi.

Zamani tulikuwa tunafundishwa majina maalumu lazima yaanze na herufi kubwa yakiwa popote yaani mwanzo au katikati au mwishoni mwa sentensi.
Na majina ya jumla ndio huandikwa kwa herufi ndogo kama yapo katikati au mwishoni mwa sentensi.

Mifano:
Majina ya maalumu ni Beira, John, Khamisi, Mbowe. Mungu ni jina maalumu na kwa utukufu wake anapewa heshima kwa kuandikwa kwa kuanzia herufi kubwa au kwa herufi kubwa tupu.

Mifano ya majina ya jumla ni embe, gesi, ndizi, soko, dhahabu, mbwa, paka, n.k.

Zingatia sheria hizo za kuandika majina zipo hufutwa hata ktk lugha za kiingereza, kifaransa na nyingine nyingi za magharibi.
 
Kweli huyu malaika alitumwa na mungu wa Dar kuichukua bangi chumbani kwa wema.
 
Jela sio pazuri jamani mwacheni Wema aongee tu sio akili yake
 
Ha ha ha aha ha ha abaada ya muda atatumbia km makonda nae ni kibamia........... maana najua jamaa keshampiga p mbu za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…