Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nawe muheshimu mwenzio we fata yako humu au umemfata Warumi humu sema
huyu hastahili heshima hata ya guruguja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe muheshimu mwenzio we fata yako humu au umemfata Warumi humu sema
Naona uvivu kuandka we Google
huyu hastahili heshima hata ya guruguja.
huyu hastahili heshima hata ya guruguja.
Nifundishe namna ya ku-Google basi jamani!!! Kwani huyo Mwamvita naye ni muigizaji????
Aliyekwambia mm nahitaj heshima nan? Ebu achana mm , vyote hvyo havina faida kwangu coz hunisaidii kitu
Weeee mwambie Mods wa hili jukwaa akufundishe mi sio mwalimu
Heshima kakuzaaaaa
Heshima kwan umemzaaa
Unajua binamu kuna watu wakigombana na sisi wanaona fahar , maana kuna watu wanatuona miungu mtu humu, kuna siku nakumbuka nilimquote mtu humu akaja pm mbio kunishukur nimemjibu comment aaah aah nikacheka sana, kwenye PM yangu kuna vituko binamu we acha tu , naona humu wanajishau baadae wanakuja pm kuomba umbea aaah aah
acha ukihiyo kama unauliza mwisho kumbuka kuweka alama ya question mark. ?
wacheza mdundiko mmevamia hili jukwaa.
Halaf huyu si tulimnyima umbea ndio maana ana hasira na ww na hatumpiii akituma pm usimjibu binam mjibu hapa hapaaa
Na capture kabisa nayamwaga humu , maana humu wanajifanya wana midomo baadae wananijazia pm zangu wanatak umbea , ntawakariri majina , maana Nina wadau wangu special ambao hawa comment humu kwa kuogopa kujichoresha ila wanapendaga sana umbea , uwa nachka sana , sasa mtu hakuoni wewe wala picha yako unaogopa kujipa raha ya nn? Anyways uwa naheshimu maamuz yao na wanakujaga wengi tu pm sana binamu , mm Nina siri sana kwenye PM zangu we ngoja wanivuruge tu, maana sipendag kutoa mambo ya pm niyalet humu sasa wanalazimisha
Wakuwaaaacheeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka max atutimue humuuu wengine wanye tikitiiiii
Hihiii kuna kipindi nilipinda had ma mods wakanitumia msg nipunguze , kubabekii wataomba poo
huyo moderator wa kumtumia pm mbulula kama wewe basi hana kazi.
Huwez kujua Mimi ni Nani humu , we fanya yako usepe, huwez kubishana n robbot kamwe
wewe ni jinga fulani tu humu, hamia jukwaa la gossip na udaku kule ndio unafit pambafu wewe.
Kaombe kaz ya u mods unipe ban ya milel , vinginevyo utapumulia tigo mwaka huu