Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaombe kaz ya u mods unipe ban ya milel , vinginevyo utapumulia tigo mwaka huu
hiyo ni offer nzuti umenipa kuipumulia tigo yako haina shida ila usinijambie au kunimwagia uharo tu. I will grant you're wish.
Sasa unajihangaisha kubadil ma ID ili iweje?? Dah mbona hujiamin kijana
Kwa kuwapa moyo wasichana wengi kuwa wanaweza kuishi bila kufanya kazi ila papuchi inaweza kuwalinda maishani.
Tutamkumbuka kwa kubadilisha mabwana kama nguo....ujue kubadilisha migegedo nacho ni kipaji...kila mtu na swaga zake pale kati.
Mi ntankumbuka kwa kutupiga fix kua kanunua nyumba ya milioni 400 na kutangaza hadharanii aisee hili sitalisahau ntawasimuliaga hadi wajukuu zangu
Ile ya kufungua ofisi na kunyang'anywa vifaaa aisee hii sitasahau
Kukosana na kurudiana na Diamond sitasahauuu
Na kunyang'anywa garii na clement duu
utafurahi dans ili uinamishwe upigwe nao halafu kelement akupe wewe gari?
serikali ilifanyie kazi hili tatizo la ajira tutazalisha kundi la mashoga wa kutosha kabisa kama hali itaendelea hivi.
Sasa unajihangaisha kubadil ma ID ili iweje?? Dah mbona hujiamin kijana
dah!vipi kwani una degedege la ukubwani??mana upaniki kama umezidisha dozi ya malaria.
Weeee mwambie Mods wa hili jukwaa akufundishe mi sio mwalimu
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?
nadhani kuongea vizuri kizungu
Kwa kizungu gani, ile ni swanglish plus mashauzi basi...na sauti yake ile kama paka aliyenyimwa maziwa.
Mmh mi ule uongo wake tu wa kudanganya amenunua nyumba ya mil400 kumbe tapeli , kwa hilo kamwe sitomsahau
mmeanza kuja na id zenu zilizojiicha? misunu yenu wote mtatoka baru hapa kma njenje.
Yani binamu watu wana mashauzi duniani, manake wanaweza kukufanya ujichukie. Me nlikuwa najiuliza wenzetu wana K za aina gani za kufanya wahongwe mihela yote hiyo ya kununua nyumba...manake sijawahi kusikia kainvest popote..so biashara ya maana hana hapa mjini....nikasema watu wanajua kuhongwa jamani......kumbe kakodishwaaaaaa hahahaaaa!