Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

Mimi nitamkumbuka kwa kuweza kukaa kwenye headlines kwa muda mrefu kuliko Mastaa wengine.
 
hiyo ni offer nzuti umenipa kuipumulia tigo yako haina shida ila usinijambie au kunimwagia uharo tu. I will grant you're wish.

Sasa unajihangaisha kubadil ma ID ili iweje?? Dah mbona hujiamin kijana
 

naikubali team yenu kinomaaaaa!!!
 
utafurahi dans ili uinamishwe upigwe nao halafu kelement akupe wewe gari?

serikali ilifanyie kazi hili tatizo la ajira tutazalisha kundi la mashoga wa kutosha kabisa kama hali itaendelea hivi.

dah!vipi kwani una degedege la ukubwani??mana upaniki kama umezidisha dozi ya malaria.
 
Tuanze na wewe tutakukumbuka kwa lipi? Charity begins at home.
 

Kwa Makalio yake makubwa kama zigo la mwizi...!
 
Kwa kizungu gani, ile ni swanglish plus mashauzi basi...na sauti yake ile kama paka aliyenyimwa maziwa.

Mmh mi ule uongo wake tu wa kudanganya amenunua nyumba ya mil400 kumbe tapeli , kwa hilo kamwe sitomsahau
 
Mmh mi ule uongo wake tu wa kudanganya amenunua nyumba ya mil400 kumbe tapeli , kwa hilo kamwe sitomsahau

Yani binamu watu wana mashauzi duniani, manake wanaweza kukufanya ujichukie. Me nlikuwa najiuliza wenzetu wana K za aina gani za kufanya wahongwe mihela yote hiyo ya kununua nyumba...manake sijawahi kusikia kainvest popote..so biashara ya maana hana hapa mjini....nikasema watu wanajua kuhongwa jamani......kumbe kakodishwaaaaaa hahahaaaa!
 
mmeanza kuja na id zenu zilizojiicha? misunu yenu wote mtatoka baru hapa kma njenje.

weweee...acha mikwara bubu dogo,usijibiwe we una matatizo kweli!mbona una chuki bure wewe!mwenzetu wa wapi weweee,hebu huko!umekunywa uji wa mgonjwa nini?!!
 

wewe umeshawahu kukodishiwa wapi? na ni nani amewahi kukuhonga gari? hata smartphone hujawahi kuongwa peleka ushuzi wako mbele huko hater.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…