warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Sidhani hata kama amekaribia kuwa na hadhi ya kuitwa 'muigizaji mahiri' labda hilo jingine inaweza kuwa sahihi
Maisha ya juu unayajua au unayasikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani hata kama amekaribia kuwa na hadhi ya kuitwa 'muigizaji mahiri' labda hilo jingine inaweza kuwa sahihi
kichwa cha habari hakikopoa kabisa aisee nikama unamuombea kifo ili uone mabaya na mazuri yake ila huyo aliye sema kuwa wema ndo muigizaji bora hazijatimia kabisa wema amfikii hata kinyambe na maisha ya juu unayajua Muangalie Nancy,mwamvita nk uone maisha yao sio yeye anashinda americanatz salon akitoka hapo kalud sebuleni kwake kucheza na mmbwa ooh angalia movie zake ana movie yule ama kashilikishwa afanye yake peke yake bila kutegemea sura zakina phd,aunt, uone atakvyo Pauka sokoni eti ana nyota nyota mwaijua nyie yule ana kimondo sio nyota
Huyo aloyesema wema muigizaj mzur na ana maisha mazur atakuwa katoka mbwinde , maana watu wa vijijin wanajua wema anaish maisha mazur kwa ajili ya filam , ndo maana watu wanatorok vijijin kuja dar kutaka kuigiza wawe kama wema kumbe mwenzao muuza papuchi mkubwa
hahahahahah mkuu MBWINDE?!!!........umenifurahisha sana!
kichwa cha habari hakikopoa kabisa aisee nikama unamuombea kifo ili uone mabaya na mazuri yake ila huyo aliye sema kuwa wema ndo muigizaji bora hazijatimia kabisa wema amfikii hata kinyambe na maisha ya juu unayajua Muangalie Nancy,mwamvita nk uone maisha yao sio yeye anashinda americanatz salon akitoka hapo kalud sebuleni kwake kucheza na mmbwa ooh angalia movie zake ana movie yule ama kashilikishwa afanye yake peke yake bila kutegemea sura zakina phd,aunt, uone atakvyo Pauka sokoni eti ana nyota nyota mwaijua nyie yule ana kimondo sio nyota
mi sijui kwakweli coz sijui undan wa maisha ya Wema zaid ya kumuona kwenye magazet ya shigongo,labda huyo aliyesema ana maisha ya juu kathibitisha hili
Atakuwa mgen wa jjmi sijui kwakweli coz sijui undan wa maisha ya Wema zaid ya kumuona kwenye magazet ya shigongo,labda huyo aliyesema ana maisha ya juu kathibitisha hili
Mamiss kibao wamepita tumewasahau kiasi kwamba wengine wakifa watu hata hawastuki so umiss sio ishu sana,kinachofanya Wema awe hot hadi leo hii kwenye medias sio umiss bali ni mambo yake tu(skendo),sio umiss wala kazi anazozifanya.Kinachonishangaza ni kuona eti ana mashabiki kuliko wasanii wa kweli kama Thea,Monalisa,Johari,etc.Hii ndo Bongo bwana!
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?
Mwamvita Makamba ni nani mkuu?????