Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

kichwa cha habari hakikopoa kabisa aisee nikama unamuombea kifo ili uone mabaya na mazuri yake ila huyo aliye sema kuwa wema ndo muigizaji bora hazijatimia kabisa wema amfikii hata kinyambe na maisha ya juu unayajua Muangalie Nancy,mwamvita nk uone maisha yao sio yeye anashinda americanatz salon akitoka hapo kalud sebuleni kwake kucheza na mmbwa ooh angalia movie zake ana movie yule ama kashilikishwa afanye yake peke yake bila kutegemea sura zakina phd,aunt, uone atakvyo Pauka sokoni eti ana nyota nyota mwaijua nyie yule ana kimondo sio nyota
 
Huyo aloyesema wema muigizaj mzur na ana maisha mazur atakuwa katoka mbwinde , maana watu wa vijijin wanajua wema anaish maisha mazur kwa ajili ya filam , ndo maana watu wanatorok vijijin kuja dar kutaka kuigiza wawe kama wema kumbe mwenzao muuza papuchi mkubwa
 
hahahahahah mkuu MBWINDE?!!!........umenifurahisha sana!
 
Atakumbukwa kuwa miss wa kwanza duniani kuwa name mix michepuko. Mara msanii wa mziki Mara wa video Mara msanii wa ikulu.
 
kichwa cha habari hakikopoa kabisa aisee nikama unamuombea kifo ili uone mabaya na mazuri yake ila huyo aliye sema kuwa wema ndo muigizaji bora hazijatimia kabisa wema amfikii hata kinyambe na maisha ya juu unayajua Muangalie Nancy,mwamvita nk uone maisha yao sio yeye anashinda americanatz salon akitoka hapo kalud sebuleni kwake kucheza na mmbwa ooh angalia movie zake ana movie yule ama kashilikishwa afanye yake peke yake bila kutegemea sura zakina phd,aunt, uone atakvyo Pauka sokoni eti ana nyota nyota mwaijua nyie yule ana kimondo sio nyota

kila mtu atakufa so kukizungumzia kifo si tatizo.Hiyo ya Wema kuwa na maisha mazuri kipindi chake cha tv na magazeti ya Shigongo ndo vinawadanganya.Hawajui maisha wanayoishi watu kama wakina KLynn (Ntuyabaliwe) coz hawaandikwi sana
 
Maisha ya juu unayajua au unayasikia

mi sijui kwakweli coz sijui undan wa maisha ya Wema zaid ya kumuona kwenye magazet ya shigongo,labda huyo aliyesema ana maisha ya juu kathibitisha hili
 
Atakuwa mgen wa jj
 
Mamiss kibao wamepita tumewasahau kiasi kwamba wengine wakifa watu hata hawastuki so umiss sio ishu sana,kinachofanya Wema awe hot hadi leo hii kwenye medias sio umiss bali ni mambo yake tu(skendo),sio umiss wala kazi anazozifanya.Kinachonishangaza ni kuona eti ana mashabiki kuliko wasanii wa kweli kama Thea,Monalisa,Johari,etc.Hii ndo Bongo bwana!

Mashabiki wake wengi ni wale wenye tabia kama za kwake,ambao muda mwingine huwa wanasahau kuvaa vyupi.
 
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?

Kende ukifa tutakukumbuka kwa lipi?
 
Mi ntankumbuka kwa kutupiga fix kua kanunua nyumba ya milioni 400 na kutangaza hadharanii aisee hili sitalisahau ntawasimuliaga hadi wajukuu zangu
Ile ya kufungua ofisi na kunyang'anywa vifaaa aisee hii sitasahau
Kukosana na kurudiana na Diamond sitasahauuu
Na kunyang'anywa garii na clement duu
 
Kiukweli cmjui kabisa na sijazaliwa juzi wala nini?????
 
Back
Top Bottom