Wema sepetu akifa tutamkumbuka kwa lipi?

Atakumbukwa kwa umbile la ------ yake na hicho ndicho anachopendewa na vijana wengi wa kibongo trust me otherwise nothing special watazunguka SANA ila huo ndio ukweli
 
Mi ntankumbuka kwa kutupiga fix kua kanunua nyumba ya milioni 400 na kutangaza hadharanii aisee hili sitalisahau ntawasimuliaga hadi wajukuu zangu
Ile ya kufungua ofisi na kunyang'anywa vifaaa aisee hii sitasahau
Kukosana na kurudiana na Diamond sitasahauuu
Na kunyang'anywa garii na clement duu
Nasikia gar la kaka clement lipo garage wiki nzima , so wema anatumia gari nyingine Sijui kashaporwa mhh maana wema haaminik , ebu ngoja tuangalie movie itakavyokuwa , kama kaporwa ntafurah sana
 
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi kutokana na unoma wake kwenye michano(Rap),n.k.Nimejaribu kujiuliza swali hilo kwa 'Superstaa' wetu ambaye haiwezi kupita siku bila kusikia habari zake bibie Wema Sepetu ni kipi alichotufanyia watanzania kitachofanya tumkumbuke kama hao niliowataja?
wewe jinga ndio utakuwa wa kwanza kufa, unataka hapa jf ukumbukwe kwa hizi pumba zako?
 
Nasikia gar la kaka clement lipo garage wiki nzima , so wema anatumia gari nyingine Sijui kashaporwa mhh maana wema haaminik , ebu ngoja tuangalie movie itakavyokuwa , kama kaporwa ntafurah sana

utafurahi dans ili uinamishwe upigwe nao halafu kelement akupe wewe gari?

serikali ilifanyie kazi hili tatizo la ajira tutazalisha kundi la mashoga wa kutosha kabisa kama hali itaendelea hivi.
 
Kajiajir kwanza wewe uache kuingia Jamii forum , maan wengine ndo kaz yetu humu
 
utafurahi dans ili uinamishwe upigwe nao halafu kelement akupe wewe gari?

serikali ilifanyie kazi hili tatizo la ajira tutazalisha kundi la mashoga wa kutosha kabisa kama hali itaendelea hivi.

Aisee hua mnatokea wapiiiiiiiiu we umeajiri wangapii
 
Nasikia gar la kaka clement lipo garage wiki nzima , so wema anatumia gari nyingine Sijui kashaporwa mhh maana wema haaminik , ebu ngoja tuangalie movie itakavyokuwa , kama kaporwa ntafurah sana

Gari lile la pinki au ??hebu achana na huyu usimjibu
 
Usiseme tutamkumbuka kwa lipi, sema atakumbukwa kwa lipi? Maana unaweza ukaanza wewe.
 
Back
Top Bottom