Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

Kabisa mkuu, tuombe mwisho mwema kwani ikiwa mwenyezi MUNGU atakujalia mwisho mwema lazima utazeeka tu hapa nilipo Kuna baadhi ya vijana wananiita Mzee,huwa nashtuka, lakini nikilinganisha na umri wangu basi Wana haki
Hahahaaa! uzee siku hizi watu wanaita tu,unakuta mtu ana miaka 39 au 40,anaitwa mzee,ila akimuona Zitto Kabwe au Nape na January anawaita vijana.Nadhani watu wengi he kwasasa hawajui kutofautisha kijana,mtu mzima au mbaba na mzee.
 
Ila kama stori za kudeti na watu mbalimbali ni za kweli,basi huyu dada kachezea kwelikweli huku akiwa sambamba na bongo muvi,kachezea kwelikweli yaani kwelikweli.
 
U Uzee ni baraka!Kuna watu hawajapata nafasi ya kuzeeka they are forever young in heaven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…