Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!



Wema Sepetu bado chuma. Atakuwa 28 yrs mwaka huu
 
Wema Sepetu bado chuma, atakuwa


Wema Sepetu bado chuma. Atakuwa 28 yrs mwaka huu
 
Wema Sepetu Hajakonda ila kakondeana

Kukonda kuna nafuu kukondeana balaa

Mwanamke akiwa mzuri ni fursa kwake kuwinda wanaume wa maana wa kumuoa

Kachezea shilingi chooni hapo kuoleka na mtu wa maana sio rahisi
 
Wema Sepetu Hajakonda ila kakondeana

Kukonda kuna nafuu kukondeana balaa

Mwanamke akiwa mzuri ni fursa kwake kuwinda wanaume wa maana wa kumuoa

Kachezea shilingi chooni hapo kuoleka na mtu wa maana sio rahisi
Mtu wa maana kwa tafsir yako ni mtu wa namna gani?[emoji848]
 
Mtu wa maana kwa tafsir yako ni mtu wa namna gani?[emoji848]
Muulize Wema au mwanamke yeyote kama wewe Mwanaume umeoa muulize mkeo akwambie kama hujaoa una girl friend au unatarajia kuoa muulize msichana yeyote kuwa eti nyie mwanaume.wa maana kwenu vigezo ni vipi? Kama huna wote hao muulize mama mzazi aliyekuzaa yeye akisikia Mwanaume wa maana sifa zake zipi

Nakuhakikishia mama mzazi atatema cheche za kufa mtu za kueleweka bila chenga
 
Nakubaliana na wewe ila binadamu ukishaamua kuwa maisha yako unayaanika kwenye mtandao basi kumbuka utajadiliwa kwa mazuri na mabaya. Angekuwa amaechomoa picha binafsi ya mtu asiyeishi haya maisha mtandao akaanzisha thread kama hii maneno yako yangesihi
 
Kama mwanamke uliza wanawake wenzio akiwemo.mama mzazi
 
Me nilifikiri ww unamjua, ok maandalizi mema ya eid Mubarak[emoji848]
 
She is still beautiful, naomba kujuzwa hivi alijipunguza sababu ya harakati za kutafuta mtoto au alishauriwa kama comments zinavyosema?
Bila shaka ni katika harakati za kutaka kuonekana mrembo ili avutie zaidi. Haya ndiyo matatizo ya mwanamke kuishi kwa kutegemea mvuto wake. Kila siku kuna chipukizi wapya wanaibuka na kuleta ushindani kwenye kupata wateja. Katika kuhangaika ndiyo unakuta watu wanafanya maamuzi yasiyo na busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…