John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na tunajifunza, tunaoamini katika Mungu, Mungu hukupa kwa wakati wake na wakati ambapo hakunipa aliwapa wengine, riziki inaenda kwa mzunguko.”