Wema Sepetu amrudia Mungu

Wema Sepetu amrudia Mungu

Mwambie avae hijab au nikab hapo??!!povu atakalotoa balaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi sio muislam ila nawachekaga sana watu kama huyu coz utamaduni wake ni kuvaa hijab [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Anajitia kumrudia mungu halafu hapiti katika njia ambazo mungu kaziweka, huuni UNAFIKI.
 
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
View attachment 2132592
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na tunajifunza, tunaoamini katika Mungu, Mungu hukupa kwa wakati wake na wakati ambapo hakunipa aliwapa wengine, riziki inaenda kwa mzunguko.”
kweli kwisha kupo jaman! wema huyu huyu aliyekuwa anaupigia chepuo u freemanson kwenye page zake za insta leo hii kaamua kumrudia mungu?
 
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
View attachment 2132592
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na tunajifunza, tunaoamini katika Mungu, Mungu hukupa kwa wakati wake na wakati ambapo hakunipa aliwapa wengine, riziki inaenda kwa mzunguko.”
Wakiishiwa wanamrudia Mungu.
Wakiwa nazo Mungu wa nini!!
Kweli Mungu ni mwingi wa huruma.
Ajitahidi kufuata utaratibu wa kumeza VRA.
 
Hijab sio utamaduni wa waislam ni waarabu

Wanawake wa kiarabu huvaa hijabu na nikabu na wanaume vitambaa kujikinga na vumbi jangwani huko

Kiasili mashariki ya kati ni jangwa hivyo hayo mavazi yaliwasaidia kujikinga na vumbi na upepo mkali

Ila waafrika wakachukua km ilivyo unakuta dar jua kali mtu amejificha uso na manguo hadi unamhurumia
Mwambie avae hijab au nikab hapo??!!povu atakalotoa balaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi sio muislam ila nawachekaga sana watu kama huyu coz utamaduni wake ni kuvaa hijab [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Hakuna binti wa kiislamu wa hivyo mwenye kucha za shetani,kichwa wazi mavazi ya uchi....angeonekana kavaa hijab hapo sawa.
 
Hijab sio utamaduni wa waislam ni waarabu

Wanawake wa kiarabu huvaa hijabu na nikabu na wanaume vitambaa kujikinga na vumbi jangwani huko

Kiasili mashariki ya kati ni jangwa hivyo hayo mavazi yaliwasaidia kujikinga na vumbi na upepo mkali

Ila waafrika wakachukua km ilivyo unakuta dar jua kali mtu amejificha uso na manguo hadi unamhurumia
Ungejua sasa huyo unayemuhurumia yupo salama kuliko wewe unayeacha ngozi yako ichomeke kwa jua kali, hujui mionzi ya jua inavyoharibu ngozi na wengine hadi kupelekea Kansa???

Na kama unadhani yule anayejifunika anafukutwa kwa joto umepotea hakuna watu wanaopata kipupwe cha asili kama wavaa baibui na majuba.
 
Binafsi sipendelei Mwanamke mwenye makalio yaliotuna na kupitiliza huko nyuma, napenda ya kawaida sana nayoweza kuyashika na kuyachezea na siyo yaliyovimba, huwa naona kama ni ugonjwa.
[emoji1787][emoji1787] umenichekesha hapo uliposema ni ugonjwa!
 
Ungejua sasa huyo unayemuhurumia yupo salama kuliko wewe unayeacha ngozi yako ichomeke kwa jua kali, hujui mionzi ya jua inavyoharibu ngozi na wengine hadi kupelekea Kansa???

Na kama unadhani yule anayejifunika anafukutwa kwa joto umepotea hakuna watu wanaopata kipupwe cha asili kama wavaa baibui na majuba.
Sababu hawavai chupi na huwezi kujua kuwa hawajavaa,upepo unaingia th mweee
 
Mwambie avae hijab au nikab hapo??!!povu atakalotoa balaa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi sio muislam ila nawachekaga sana watu kama huyu coz utamaduni wake ni kuvaa hijab [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Utamaduni wa waarabu mmeureta afrika..huku jua kali..unakuta mmama kavaa yale majuba meusi jua kali la k.koo anazunguka nalo..eti dini ya mtume kama sio utumwa waakili sijui ni upumbavu gani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom