Wema Sepetu amrudia Mungu

Wema Sepetu amrudia Mungu

Hiyo picha kawa mrembo balaa, siyo kama zamani alikuwa na makalio makubwaaa wala hakuvutia, sasa hivi kakonda kawa kitu si mchezo!
Kweli Mimi pia naona kapendeza Sana na hako kabody ingawa watu wanamdhihaki
 
Wema umefanya kosa kubwa sana la kumkosoa Mungu, kwanini ujibadilishe maumbile yako kana kwamba Mungu amekosea kukuumba hivyo!! Why ufanye ivyo wakati unajuwa uisilamu unakataza hayo!!! Na hizo wigi zako n.k mengi tu, hujui kuwa ni haram!!!!!! Afya inakupa kibri. Utakuja juta.
 
Ungejua sasa huyo unayemuhurumia yupo salama kuliko wewe unayeacha ngozi yako ichomeke kwa jua kali, hujui mionzi ya jua inavyoharibu ngozi na wengine hadi kupelekea Kansa???

Na kama unadhani yule anayejifunika anafukutwa kwa joto umepotea hakuna watu wanaopata kipupwe cha asili kama wavaa baibui na majuba.
Binadamu hajawahi umbwa delicate hivyo kama mkate
 
Hiyo picha kawa mrembo balaa, siyo kama zamani alikuwa na makalio makubwaaa wala hakuvutia, sasa hivi kakonda kawa kitu si mchezo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utamaduni wa waarabu mmeureta afrika..huku jua kali..unakuta mmama kavaa yale majuba meusi jua kali la k.koo anazunguka nalo..eti dini ya mtume kama sio utumwa waakili sijui ni upumbavu gani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hijab sio utamaduni wa waislam ni waarabu

Wanawake wa kiarabu huvaa hijabu na nikabu na wanaume vitambaa kujikinga na vumbi jangwani huko

Kiasili mashariki ya kati ni jangwa hivyo hayo mavazi yaliwasaidia kujikinga na vumbi na upepo mkali

Ila waafrika wakachukua km ilivyo unakuta dar jua kali mtu amejificha uso na manguo hadi unamhurumia
Na waarab ndio walioleta uislam so huwez kutenganisha hivyo vitu viwili hijab/kanzu na uislam.
 
Utamaduni wa waarabu mmeureta afrika..huku jua kali..unakuta mmama kavaa yale majuba meusi jua kali la k.koo anazunguka nalo..eti dini ya mtume kama sio utumwa waakili sijui ni upumbavu gani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku jua kali kuliko uarabuni Nan kakwambia, bongo jua Kali kuliko Saudia?? Haupo siriaz
 
Back
Top Bottom