John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
kwani kasema ana majuto?Lau wakina dada wangejua kucheza vizuri na leo kesho wasingekuwa na majuto.
Sijamsemea yeye nimesema wadada kwa ujumla.kwani kasema ana majuto?
mwenzio kajifunza kwa vitendo we umejifunza kwa maneno ya vigenge
Tumekula nae sana mishkaki ya kiti moto.Dua na ka mbwa ndani ya nyumba daah
Tumekula nae sana mishkaki ya kiti moto.
Hivi kuna uhusiano gani kati ya mnywa pombe na ulaji wa kitimoto?Tumekula nae sana mishkaki ya kiti moto.
Vyote ni stareheHivi kuna uhusiano gani kati ya mnywa pombe na ulaji wa kitimoto?
Maana kwa asilimia kubwa naonaga huwa hakuachani mbali sana [emoji848]
Sawa MamaVyote ni starehe