Wema Sepetu amrudia Mungu

Hiyo picha kawa mrembo balaa, siyo kama zamani alikuwa na makalio makubwaaa wala hakuvutia, sasa hivi kakonda kawa kitu si mchezo!
Kweli Mimi pia naona kapendeza Sana na hako kabody ingawa watu wanamdhihaki
 
Wema umefanya kosa kubwa sana la kumkosoa Mungu, kwanini ujibadilishe maumbile yako kana kwamba Mungu amekosea kukuumba hivyo!! Why ufanye ivyo wakati unajuwa uisilamu unakataza hayo!!! Na hizo wigi zako n.k mengi tu, hujui kuwa ni haram!!!!!! Afya inakupa kibri. Utakuja juta.
 
Binadamu hajawahi umbwa delicate hivyo kama mkate
 
Hiyo picha kawa mrembo balaa, siyo kama zamani alikuwa na makalio makubwaaa wala hakuvutia, sasa hivi kakonda kawa kitu si mchezo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo wengi wana akili ndogo sana, we angalia majadiliano yao kwenye mitandao ndio utajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamekondeana sana Kabinti ka watu.

Kwani kanaumwa?
 
Na waarab ndio walioleta uislam so huwez kutenganisha hivyo vitu viwili hijab/kanzu na uislam.
 
Huku jua kali kuliko uarabuni Nan kakwambia, bongo jua Kali kuliko Saudia?? Haupo siriaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…