Wema Sepetu amrudia Mungu

Ngozi inatakata yenyew kwa lile joto plus hakuna kuchomwa na jua.
Mimi huwa navaa soksi siku nzima kutokana na kazi ninayoifanya ili miguu isiharibike.Imekuwa mizuri hiyo mpka natamani ingejuwa ndio uso unaonekana hivyo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hijab ni Sharia katika Uislam. Hayo unayoyasema ni maoni yako binafsi. Waislam wanaifuata Dini yao.
 
Kama ww ni mwarabu sawa ila ngozi ya mwafrika inahitaji jua zaidi
 
Huyu si ndiye alihamia Chadema baada ya mambo yake kutokwenda sawa na Serikali, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sasa anamrudia vip Mungu baada ya kufirisika?
 
Hayo mawazo yako watu mnachanganya uislamu na uarabu. Hijab ni jambo halikuwahi kuwepo kwenye mila zao waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…