Steve Nyerere ametoa au amechukua ngapi?
Kweli MUNGU ni mwema,hata saa mbovu huwa sahihi mara mbili kwa siku,wema kumbe nae ana mazuri yake!wema.ubarikiwe sana MUNGU AKUZIDISHIE MARA MILLION HAPO ULIPOTOA
Habari Njema Hii,kiukweli Kabisa Kajala Ni Muigizaji Mzuri! Sasa Mbona Hamtuambii Mumewe Nae Kalipa Hiyo Fain Ya Mil Miambili Au?yaani Hawa Waume Zetu Hawa,kwa Kweli Unaweza Kujikuta Matatizoni Bila Kujua! Ni Kuomba Tu Mungu,vyanzo Vya Mapato Ya Waume Zetu Ni ZAIDI YA TUJUAVYO!
sasa wewe ulishapata hizi taarifa zote magezeti ni ya nini tena!?? Au u miongoni mwa wale ambao hata akishuhudia tukio linatokea hayaamini macho yako mpaka uone 'imeandikwa gazetini'.Ngoja uone magazeti ya kesho..!
sasa wewe ulishapata hizi taarifa zote magezeti ni ya nini tena!?? Au u miongoni mwa wale ambao hata akishuhudia tukio linatokea hayaamini macho yako mpaka uone 'imeandikwa gazetini'.
Siwezi kujua Wema hiyo pesa kaitoa kwenye hazina gani lakini kihuhakika kaonyesha picha tofauti kwa jamii maana katika maeneo ambayo mtu asingependa yeye au ndugu yake kuishi ni gerezani. Kwa hili kaonyesha uungwana halisi.
...na inaweza kuwa 'reminder' kwa wale waliokuwa wakibishia kauli ya jk kuwa 'atatengeneza mamilioneaire'
Steve Nyerere ametoa au amechukua ngapi?