Bado anaishi mle mle. Kuna movie yake mpya ameigizia kwenye kale kamjengo kake ninafikiri itatoka muda sio mrefu, kuna gari mpya pia aliagiza na ilishafika kwa ajili ya movie yake hyo mpya. Nakaribisha swali lingine kama lipo.
Kutakatisha fedha ni money laundering, GOOGLE IT utapata hata maana tu kama we si msomi wa sheria. kwa kifupi ni kwamba, mtu anapata pesa kwa njia isiyo halali, ile pesa inakuwa kwa jina lingine pesa chafu. baada ya hapo anaanza kufanya vitu vitakavyoihalalisha ile pesa iwe safi. wengi wanajenga majumba, wengine wanaweza kuchannel zile pesa toka kwenye accounts tofautitofauti na za watu wengine alimradi tu wafiche justification ya zile pesa zionekane kama walizipata kihalali kumbe ni pesa chafu.
mfano: bwanake kajala alipata fedha zile kwa njia ya wizi alikuwa mfanyakazi wa serikali, waliiba pesa za walipakodi wa tz (zilikuwa TRA) kwa kushirikiana na wafanyakazi wengine wa TRA kina katiti ambao hadi sasaivi wanashikiliwa na uyo bwanake kajala, vitengo mbalimbali vilishirikiana, ni zile kesi za epa, ni story ndefu siwezi kueleza kila kitu hapa,....zile hela ni mojawapo ya hela ambazo walinunua/walijenga nyumba wakawa wanaishi na kajala, ....dili lilipovumbuka wakaiuza ile nyumba wakati (noto so much sure...)pccb walikuwa wameizuia. ndio kosa hilo......kama nikija kwenye suala letu, walitakatisha fedha chafu ya wizi wa pesa za epa kwenye majumba na magari...na kajala alishiriki kwa kupitia mume wake. si unajua hata kama mtu anafanya kosa wewe ukishirikiana naye na wewe unatiwa ndani?...thats what happened. kwa kifupi ni kwamba, kutakatisha fedha ni kusafisha fedha haramu ili ionekana kuwa ni halali/safi kwa kuficha chanzo chake etc...upo hapo? try to google " Anti Money Laundering Act of Tanzania 2006"..
Nashangaa watu kuuliza kama pesa za ku-act ni nyingi kiasi cha kutoa mik 13. Hawajui mdada ni producer pia. Mungu amzidishie.
Sio jela miaka 8 bali ni miaka 5.
Hahahah in short unapopata baraka kuna watu badala ya wao kukuombea na kusimama na wewe wanajaribu ku undervalue your blessings kwa kutoa their own humanity justifications. Like aahhh si anahongwa tu, si vile na vile ili ionekane kwamba ule sio mbaraka basi kitu flani ambacho ni simple na kinaweza kutokea at anytime as atahongwa tu! Okay nyie mnaoundervalue tuwaulize ni wangapi wamehongwa na kuweza kutoa milion 13 kirahisi rahisi tu namna ile?? wangapi wanahongwa to the extent ya kufanyia mbwa shopping china ya milion 6.5 kirahisi tu?
Jaman tusitafutie sababu rahisi ili kuficha pale watu wanapobarikiwa. La msingi tuombe Mungu au tuwaulize watueleze personally how they succeeded ili nasi tufanikiwe
Wewe dada yangu nakupongeza kwa kufikiria nje ya boksi tena in a way great thinkers do.
Anyway kitu kizuri ni kwamba kasaidia.
Hahahah in short unapopata baraka kuna watu badala ya wao kukuombea na kusimama na wewe wanajaribu ku undervalue your blessings kwa kutoa their own humanity justifications. Like aahhh si anahongwa tu, si vile na vile ili ionekane kwamba ule sio mbaraka basi kitu flani ambacho ni simple na kinaweza kutokea at anytime as atahongwa tu! Okay nyie mnaoundervalue tuwaulize ni wangapi wamehongwa na kuweza kutoa milion 13 kirahisi rahisi tu namna ile?? wangapi wanahongwa to the extent ya kufanyia mbwa shopping china ya milion 6.5 kirahisi tu?
Jaman tusitafutie sababu rahisi ili kuficha pale watu wanapobarikiwa. La msingi tuombe Mungu au tuwaulize watueleze personally how they succeeded ili nasi tufanikiwe
Nitake radhi, kwa nini umefikiri Kiranga ni dada?
He he he he umeongea kidada dada vile. Lolest!🙄
Nitake radhi, kwa nini umefikiri Kiranga ni dada?
Oooh! samahani sana mkuu dah, nilichanganya jina nikidhani niliye-quote post yake ni Kaunga
Ndio unanifumbua macho sasa hivi, ngoja nifanye marekebisho mkuu...samahani tena!!!
waambie wakimaliza kumfuatilia kwenye makabati yao! Wam-google kabisa!! Muacheni wema jamani, lol! muacheniiiiiiiiii karne nzimaaaaaaaa!!kipato kama hicho kwa mtanzania kinaonekana ni kikubwa. Tra watafuatilia kama huwa analipa kodi.
waambie wakimaliza kumfuatilia kwenye makabati yao! Wam-google kabisa!! Muacheni wema jamani, lol! muacheniiiiiiiiii karne nzimaaaaaaaa!!
Hahah mtani hebu acha hiyo maneno bhanaa...neno mama ni tafsiri ya neno original.
Mathalani: IPP ni kampuni mama ya ITV, The Guardian, EATV n.k
Kiranga usizingatie maneno ya huyu bi mkubwa ni mtani wangu, naona anataka kupindisha maana loh!!